Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ulikusudia kusema nini atiii?
rais wako anapenda kupigwa makofi lakini kuzabwa hataki.
observer1994.jpg
 
Nikimsikiliza Rais Magufuli napata picha ya mfanyabiashara mdogo wa duka la kaya aliyepewa mtaji na nduguze ili ajikimu yeye na familia yake lkn kabla hata hajaanza kufanya mauzo, anaamua kuanza kutafuna biskuti na kulamba sukari kiasi cha kufikia kula mtaji wote na hatimaye duka sasa kalifunga - Magufuli hakika ameamua kujihujumu na kuufanya Utawala wake kuwa mgumu pasi na sababu.

Basi natamani wapatikane wazee wenye busara (Maaskofu na Masheikh ) wakazungumze naye kwa upole wamkanye tu kwamba speed aliyo nayo ya kuelekea kupotea njia ni kubwa mno - ataivuruga nchi na atajivuruga mwenyewe, halafu wale wazee wa CCM akina Kikwete na akina Mkapa wataanza kumcheka.

Hakika kuna shida kubwa nafsini mwa Rais Magufuli - akikutana na Maaskofu na Masheikh naamini watamfanyia na maombi pia ili apone - Rais huyu anahitaji UPONYAJI.
 
Achana na maaskofu na mashekh, hawa ndio watu wasikuwa na msaada mbali ya kujidanganya na maombezi nasema! Najua mtanipiga madongo, lakini wacha niliseme! Hawa nawaambia sala hazisaidii katika ulimwengu wa uhalisia. Kama sala zina kazi, Amani asingelitawala Uganda miaka 7 ya mateso! Walisali sana na kuomba sana haikusaidia.
 
Tatizo hata hao viongozi wa imani UNAFKI umejaa. Huyu bwana hakuelewa lugha nyepesi ya Kikwete wakati anaaga ya kusema wacheni chama kirudi kwa wanchi. yalipitia kushoto na kutokea kulia
 
mm no comment kwan kasema atayemjaribu atamshugulikia bila huruma. ... dah asanteni sana ccm kwan tunaisoma namba
 
Wazee hawa-hawa wanaowaita wananchi wapumbavu na malofa au wazee wapi?

Viongozi wa dini hawa wanaoishi maisha ya kifahari kwa vimichango vyetu sisi maskini au kuna wengine?

Ombeni Mungu sana ili afanye lolote lile jema au baya ili tu taifa linusurike.
 
Binafsi nadhani bado hajajua ugumu na uzito wa jukumu la kuwa rais wa nchi. Anachukulia mambo kirahisi sana. Anadhani waliomtsngulia walikuwa wajinga sana kuheshimu utawala wa sheria na demokrasia. Anaamini kabisa ataweza kuongoza hii nchi kwa vitisho? Na wazee wa busara km kina Warioba na Salim Ahmed qanaona kijana wao anapotea njia wao wanakaa kimya? Kwa Kikwete siwezi kushzngaa kwa sababu nina hakika hata Magu akikosea stamwacha ili aumbuke! Mkapa yeye kwa sasa ni km amepoteza mwelekeo! Ishu ni hawa wazee wenye busara, warioba, salim ahmed, butiku, msekwa mzee wa demokrasia, hawa wapo wapi? Hawaoni tunakwenda shimoni_?
 
Mimi simshangia JPM,coz nilijua mimi nawashangaa walio mchagua,wanaomshangilia....hivi wazee kama Warioba,Mangula,Malecela wanakaa kimya nchi inarudishwa nyuma na kujenga civil disobient kijinga hivi...Wanamtandao eametufikisha hapa!
 
Leo nimeona raisi akiendelea kuomba kula uko singida....!!hivi hakuna mtu wakumshtua raisi a mwambie kuwa kampeni zimeshakwisha na yeye ndo anaedhaniwa alitangazwa kuwa mshindi!?
 
Binafsi nadhani bado hajajua ugumu na uzito wa jukumu la kuwa rais wa nchi. Anachukulia mambo kirahisi sana. Anadhani waliomtsngulia walikuwa wajinga sana kuheshimu utawala wa sheria na demokrasia. Anaamini kabisa ataweza kuongoza hii nchi kwa vitisho? Na wazee wa busara km kina Warioba na Salim Ahmed qanaona kijana wao anapotea njia wao wanakaa kimya? Kwa Kikwete siwezi kushzngaa kwa sababu nina hakika hata Magu akikosea stamwacha ili aumbuke! Mkapa yeye kwa sasa ni km amepoteza mwelekeo! Ishu ni hawa wazee wenye busara, warioba, salim ahmed, butiku, msekwa mzee wa demokrasia, hawa wapo wapi? Hawaoni tunakwenda shimoni_?

Hawa wana nafasi kubwa lakini ni wanafiki pia. Warioba asingelisimama kumnadi JPM kwenye kampenikupitia ccm wakati anajua alipigwa kwa sababu ya ccm. Mwanae kawa DC, ana shida gani!
 
Binafc nimemckiliz vzr ktk hotuba yake wakat wa ziara Singida kwel imasikitisha, kauli zenye utata zinatishia usalam wa nchi bla yeye kujua na kwamba ndie mtu wa kwanz kuleta migogor nchin, Kama zinavyotamka sheria za usajiri wa vyama vya siasa na majukumu yake hakika zimepindishw na ndio maan mnaona baada ya matamko yake mgando yanapelekea Jaji Mtungi kuomekan wazi kufagilia CCM na cyo kuwa mshaur wa vyama wakati vikikiuka taratibu zake!
Lazima Dr.Magufuli ajiulize kwann haya yatokee kwake na cyo ktk awamu nne zilizopita? Kwan yeye ni bora kuzid waliopita? Je anamsimamo kama aliokuwa nao Mkapa?
jaman ni utani tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom