Bila watu kujitoa mhanga kufa, dictators never surrender!Katiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
Mkuu hawa walalamishi wa humu JF ndio sehemu ya iliyokuwa minufaika ya ufisadi.Kama unaona kuna shida ni wewe,sisi tunaona Magufuli is the best President ever.Infact he is our dream President.Kama wewe hupendi Magufulization it's simple,hama nchi.Magufulization is here to stay.Mbona nchi ilipokuwa inafujwa kwenye awamu ya tatu na nne hamkusema?Sasa tumepata Rais anayejali taifa lake na kufanya mambo ya msingi,mnapiga makelele,viumbe wa ajabu sana ninyi.
Tuwekeeni matumizi ya billion kila mwez kama ruzuku ya chama chenu chadema. Unaita wenzako mbumbumbu we una akili? Kunguru manga we!Wewe ni mbumbumbu mmoja usiyejitambua, unateswa na laana ya waafrika, Rais wa hovyo kabisa ktk historia ya Tanzania eti unasema ni bora?
Tuwekee mkataba wa manunuzi ya ndege, Airport ya Chato na tuonyesh e zilipo Trilioni 2 zilizotoweka Kwenye Report ya CAG.
Tuambie alipo Azori Gwanda, Ben Saanane na Kanguye.
Laana yako tutolee hapa
Si tayari we ushaongeaKatiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
Mkuu bunge ulikua unasikiliza au Maneno tu mana navyo jua bunge linaanza sa2 asubuh ww huna kazi za kufanyaCcm haitaki kutoka madarakani kwa njia ya amani, tuko kimya!
Bunge live limefutwa na kuanzisha ikulu live na uteuzi live, tuko kimya.
Unadhani hati za kusafiria zingepatikana kirahisi ungeona makelele kutokea humu?Kama unaona kuna shida ni wewe,sisi tunaona Magufuli is the best President ever.Infact he is our dream President.Kama wewe hupendi Magufulization it's simple,hama nchi.Magufulization is here to stay.Mbona nchi ilipokuwa inafujwa kwenye awamu ya tatu na nne hamkusema?Sasa tumepata Rais anayejali taifa lake na kufanya mambo ya msingi,mnapiga makelele,viumbe wa ajabu sana ninyi.
Kisha watu wanashangilia kama mazuzu vile. Na sio watu wa kawaida hata hao wanaoitwa viongozi wanashuhudia hayo maneno tokea jukwaani huku wanatetemeka kama kuku wa kideri.Mitanzania mingi mijinga acha ibanwe hadi sote tuwe na akili sawa.
Mtu anakuja kwenu hamna maji anasifia kununua ndege na fly over na sgr wakati wengi wenu hamtafika Dar
Kama unaona kuna shida ni wewe,sisi tunaona Magufuli is the best President ever.Infact he is our dream President.Kama wewe hupendi Magufulization it's simple,hama nchi.Magufulization is here to stay.Mbona nchi ilipokuwa inafujwa kwenye awamu ya tatu na nne hamkusema?Sasa tumepata Rais anayejali taifa lake na kufanya mambo ya msingi,mnapiga makelele,viumbe wa ajabu sana ninyi.
Katiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
Hii ndiyo shida ya kuzaliwa tz mawazo kama haya.Show an example on how to tie the bell on the cat.[emoji192]
Kuongea kwa fake id ni rahisi,unataka watu waamke wewe upo gizani,watanzania kwa unafiki tunaongozaKatiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
Katiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!
Hii ndiyo shida ya kuzaliwa tz mawazo kama haya.
Mkuu bunge ulikua unasikiliza au Maneno tu mana navyo jua bunge linaanza sa2 asubuh ww huna kazi za kufanya
haueleki kabisa upo kama sijui kitu gani zikiletwa habari za kuvunja sheria unajikuta unapondea.asaivi ananyoosha nchiHivi rais Magufuli anaipasua nchi au anainyoosha kutokana kuikuta imepinda sana?. Hata chuma kilichopinda kikinyoonywa kinapata moto.
Acha Magufuli ainyooshe Tanzania hadi inyooke, heri dikiteta mzalendo mwenye uchungu na umasikini wa Watanzania kuliko a smiling dhaifu huku nchi ikifanywa ni shamba la bibi!.
P