Bila watu kujitoa mhanga kufa, dictators never surrender!Katiba inavunjwa... Tupo kimya!
Bunge halina tena makali... Tupo kimya!
Mahakama inaingiliwa... Tupo kimya!
Viongozi wanatoa kauli zinazokinzana kwenye suala linalofanana... Tupo kimya!
Watu wanauawa... Tupo kimya!
Watu wanatekwa... Tupo kimya!
Magerezani kama sokoni... Tupo kimya!
Watumishi,wafanyabiashara, wakulima, wastaafu, wahitimu na wananchi kwa ujumla wanalia... Wapo kimya!
JE, TUTAAMKA LINI??? TUTOKE NYUMA YA keyboard! MAKELELE MITANDAONI HAYATASAIDIA!
LET'S NOW WAKE UP AND TAKE ACTION!