Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Sasa nchi itapata wapi hela ya kufanya yote hayo bila kutengeneza uchumi kwanza

Let say haya angesema tulete bomba hapo. Ni Vijiji vingap havina bomba? Je bomba ndiyo ingeiinua uchumi? Hayo maji ndiyo yangeweza kulipa elimu bure, afya na umeme! Mi nafikiri Mkuu wewe ndiyo huna elimu. Kuna kitu kinaitwa diversity of economic yaani kufanya nchi ijitegemee kwa kuutawanya utegemezi wa uchumi?

Ili yote haya yafanyike lazima nchi itengeneze uchumi unaotegemea vyanzo mbalimbali. Mfano kupitia usafiri wa anga
ndiko tunaibua na Utaliii. Hapo ndipo kutakua na kipato cha kufanya yote hayo. Kwa kutegemea kodi tu hutaweza kutatua matatizo yote.

Soma hata uchumi wa Dubai kama huelewi, au Quatar jinsi wanavyoweza kujitoa kutoka kwenye uchumi wa utegemezi wa mafuta.
 
Mleta mada Tanzania kuna shida hasa kwenye maji watanzania wengi vijijini wamelaaniwa .Mtu utasikia eti maji wanachota umbali mrefu!!!

Kwa nini wasihamie karibu na maji? Mto.unaukuta unatiririka polrini peke yake watu wanaishi kilomita kumi mbali na uliko mto .Unajiuliza hivi hawa watu vichwa vyao viko sawa?
 
Watanzania waliyowengi bado wanaujinga hivyo unaweza waaminisha chochote na wakaamini

1995-Waliaminishwa wakichagua Upinzani kutatokea Vita, Wakaamini hivyo

2005-Wakaaminishwa Wamchague JK sababu ni kijana miaka 55 wakati huo, Wakaamini.

2015 Wakaaminishwa wachague Mzalendo na anayejali Wanyonge, Wakati ana tuhuma za Ufisadi wa Nyumba za Serikali..

Ni Majuzi Katika ziara kuna Mama Mariam aliomba maji, Majibu aliyopewa ni aibu.

Ukweli ni kwamba Ujinga wa kuchagua kishabiki bila kuchambua hakuna kitakacho badilika TZ.
 
Umasikini wa kujitakia, mtu huna hela unaishi kijijini kula shida bado unazaa watoto 10, huna pa kuwalisha, watu wa vijijini wanatuongezea umasikini bora wachinjwe wabaki wale wanaojiweza, hawa wengine futilia mbali kama iddi amini
 
Magufuli ni Rais wa wanyonge?
--------------------------------------------------------------
View attachment 1249607
➡Wanyonge ni hawa wanaokunywa matope na kujitwisha ndoo kichwani halafu wanasikia imenunuliwa ndege ya 8 bado 3 na Kila ndege ni bilion 600. Hawa hawana hata ndoto ya kupanda ndege.

➡Wanyonge ni hawa wanaokunywa matope na kilimo cha mkono, kisicho na pembejeo bora, wanasomesha kwa tabu watoto wao wakihitimu vyuo wanaambiwa wajiajili na wanaosema wajiajili nao walishindwa kujiajili wakaomba ajira kwa wanyonge leo wamewasahau.

➡Wanyonge ni hawa wanaozungusha karanga na mbogamboga jua kali halafu wanaambiwa watozwe 20,000/-elfu ishirini.

➡Wanyonge ni hawa wanaoambiwa elimu bure halafu vikao vya wazazi vikiitishwa shuleni wanakuta watoto wao wamekaa chini, hakuna madawati, hakuna vyoo inawabidi wachangie kunusuru watoto wao na adha.

➡Wanyonge ni hawa wanaochagua viongozi halafu wanabadilishiwa wasiemtaka na kipigo juu?

Natafuta tafsiri ya Rais wa wanyonge naomba atakaepata anisaidie .

View attachment 1249606
Mamilioni ya watu Tabora kunufaika na mradi wa maji ya Ziwa Victoria
 
Hao wanyonge wenyewe wanafurahia kulikodolea macho hilo dege, niliona namna walivyopata mzuka kupiga picha na dirimulaina, yaani kumiliki tu drimulaina unajihisi kushiba shiba.
 
Pasco usijitoe fahamu, nchi zilizopinda ni Somalia, Sudan kusini, Syria, Afghanistan na nyinginezo Tanzania haijawahi kupinda.
Huyu mwizi mkubwa unamwita mzalendo?
Unaujua mkataba wa manunuzi ya ndege? Ni bunge lipi liliidhinisha International Airport ya Chato ambayo anaitumia peke yake tu, ziko wapi Trilioni 2 Kwenye Report ya CAG?
Uchumi unakufa Kila leo unasema huyu ni mzalemdo? kaua soko la korosho, kaua soko la mbaazi na choroko, nchi nzima inalia hali ngumu ya uchumi, kazi yake ni kutafuta wapi pamekaa vizuri ili apaharibu.
Ameikuta nchi imetulia anafanya kazi ya kuipasua na kuiharibu

Acha tu ndugu yangu, mimi ninapigwa na butwaa, sielewi nani atatuondolea balaa hili, hakika Kikwete sitamsahahu maishani kwa kutuletea mateso makuu namna hii
 
Navipi Kama akitanga hadharani kua Hana mpango wa kuachia madaraka mtafanya nini.

Tutathibitisha yeye ni dikteta na hafai tena kuwa kiongozi, tutaingia barabarani kumpinga kwa jasho na damu yetu kwa ajili ya ukombozi wa pili
 
Kwamba kila ndege imenunuliwa kwa bil 600?
Kwa taarifa yako dreamliner yenyewe ni almost bil 500.
Bombardier ni around 50 bil.
Tukiachana na hilo miradi ya maji inajengwa kwa speed kubwa nchini kote na hili mnalijua ila mmeamua kuwa wapumbavu.
Hatuwezi kusita kununua ndege kisa kuna watu hawajapata maji.
Endeleeni kudanganyana huko cdm.
 
Magufuli ni Rais wa wanyonge?
--------------------------------------------------------------
View attachment 1249607
➡Wanyonge ni hawa wanaokunywa matope na kujitwisha ndoo kichwani halafu wanasikia imenunuliwa ndege ya 8 bado 3 na Kila ndege ni bilion 600. Hawa hawana hata ndoto ya kupanda ndege.

➡Wanyonge ni hawa wanaokunywa matope na kilimo cha mkono, kisicho na pembejeo bora, wanasomesha kwa tabu watoto wao wakihitimu vyuo wanaambiwa wajiajili na wanaosema wajiajili nao walishindwa kujiajili wakaomba ajira kwa wanyonge leo wamewasahau.

➡Wanyonge ni hawa wanaozungusha karanga na mbogamboga jua kali halafu wanaambiwa watozwe 20,000/-elfu ishirini.

➡Wanyonge ni hawa wanaoambiwa elimu bure halafu vikao vya wazazi vikiitishwa shuleni wanakuta watoto wao wamekaa chini, hakuna madawati, hakuna vyoo inawabidi wachangie kunusuru watoto wao na adha.

➡Wanyonge ni hawa wanaochagua viongozi halafu wanabadilishiwa wasiemtaka na kipigo juu?

Natafuta tafsiri ya Rais wa wanyonge naomba atakaepata anisaidie .

View attachment 1249606
uwekezaji wa ndege ni suala la kiuchumi ambalo litaleteleza uwezo wa kutoa huduma za maji kuongezeka.
na usichukulie uwekezaji wa kwenye ndege kama ni huduma vs huduma ya maji.
fikra hizo ni kwa mtoto ndio anayeweza kuinganisha hivyo vitu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom