Sasa nchi itapata wap hela ya kufanya yote hayo bila kutengeneza uchumi kwanza
Let say haya angesema tulete bomba hapo!? Ni vjj vingap havina bomba je bomba ndyo ingeiinua uchumi?? Hayo maji ndyo yangeweza kulipa elimu bure, afya na umeme!!...
Mi nafikiri mkuu ww ndo huna elimu
Kuna kitu kinaitwa diversity of economic
Yaan kufanya nchi ijitegemee kwa kuutawanya utegemezi wa uchumi?
Ili yote haya yafanyike lazima nchi itengeneze uchumi unaotegemea vyanzo mbalimbali
Mfano
Kwa usafiri wa anga
Ndyo kunaibua na utaliii
Hapo ndpo kutakua na kipato cha kufanya yote hayo..... Kwa kutegemea kodi tu hutaweza kutatua matatizo yote
Soma hata uchumi wa dubai!! Kama huelewi, au Quatar jinsi wanavoweza kujitoa kutoka kwenye uchumi wa utegemez wa mafuta.