jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Sasa nchi itapata wapi hela ya kufanya yote hayo bila kutengeneza uchumi kwanza
Let say haya angesema tulete bomba hapo. Ni Vijiji vingap havina bomba? Je bomba ndiyo ingeiinua uchumi? Hayo maji ndiyo yangeweza kulipa elimu bure, afya na umeme! Mi nafikiri Mkuu wewe ndiyo huna elimu. Kuna kitu kinaitwa diversity of economic yaani kufanya nchi ijitegemee kwa kuutawanya utegemezi wa uchumi?
Ili yote haya yafanyike lazima nchi itengeneze uchumi unaotegemea vyanzo mbalimbali. Mfano kupitia usafiri wa anga
ndiko tunaibua na Utaliii. Hapo ndipo kutakua na kipato cha kufanya yote hayo. Kwa kutegemea kodi tu hutaweza kutatua matatizo yote.
Soma hata uchumi wa Dubai kama huelewi, au Quatar jinsi wanavyoweza kujitoa kutoka kwenye uchumi wa utegemezi wa mafuta.