kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Tayari gari ipo kwenye mtaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari imekalia front axle haitoki leo Wala keahoTayari gari ipo kwenye mtaro
Corona tutaishinda Mkuu ondoa wasiwasi
Tatizo nyie waafrica hajiamini
Magufuli ni Rais sahihi kila Nchi duniani inatamani wawe na Magufuli wao
Kila mtu ajilinde na ailinde familia yake, tujaribu kuiga hata mfano wa Rais basi! Yeye keshajifungia usisubiri akuambie jifungie
Ni kuwa zaidi ya makinikwa maisha ya watanzania nyumba za kupanga wewe utachukua tahadhari ylutarudi nyumbani kuna mtu si muaminifu atakuambukiza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina nia mbaya, nimetafakari mwenendo kwenye mambo mbalimbali katika kadhia ya covid-19 nimehitimisha jamaa yetu atakuwa na magonjwa ya akili. Anazungumza mambo ambayo ya ajabu halafu anatabasamu. Hotuba ya leo ukiisikiliza alikuwa amepaniki kabisa halafu anazungumza mambo ya kutia aibu halafu anatabasamu.Muda wa kupima watu hamna ila wa kupima Mbuzi,na Mapapai mpaka na Magari yanapimwa Corona!!..
Badala ya Kuwasikiliza Wataalam ye anatafuta Point of Wickness Bullshit
Kumekuchaa!!! Kumekuchaa!!!!
visa vingi USA, CHINA.Ni kuwa zaidi ya makini
Sina nia mbaya, nimetafakari mwenendo kwenye mambo mbalimbali katika kadhia ya covid-19 nimehitimisha jamaa yetu atakuwa na magonjwa ya akili. Anazungumza mambo ambayo ya ajabu halafu anatabasamu. Hotuba ya leo ukiisikiliza alikuwa amepaniki kabisa halafu anazungumza mambo ya kutia aibu halafu anatabasamu.
Huyu Jamaa atakuwa ana ugonjwa wa akili.
Elezea mikakati tunayoitumia kuishindaCorona tutaishinda Mkuu ondoa wasiwasi
Tatizo nyie waafrica hajiamini
Magufuli ni Rais sahihi kila Nchi duniani inatamani wawe na Magufuli wao
Duu! Hatari mastaferi Yana korona.Walikua wanalalamika vipimo ni gharama,
Wamepata wapi hivyo vipimo vya kupima sungura,mipapai,kware,mbuzi,kondoo n.k?
Hivi hata ukisema ujifungie (quarantine).unadhani utakaa mda gani wakati ngoma ndio imeanza.Na kwa ukaidi wa supreme leader,hii sio ya kuisha leo wala kesho.
Ukikaa ndani utakufa njaa hamna namna lazima utoke ukajitafutie ridhki.
Mpaka sasa kwa hali ilivyo tusidanganyane kwa mwenendo wa nchi corona haiepukiki,
Tufate tu taratibu walizotuwekea ila haiepukiki.
Cha msingi ni kuimarisha kinga ya mwili,mazoezi kula vyakula na matunda yenye vitamin c.
Hapo kwenye mlo pia changamoto mana "mkate umekua mgumu"(ridhki ngum)tokana hali ilivyo,kupata hata mlo mmoja ni shughuli kwa baadh yetu,hakuna biashara inakwenda.
Hao wanafunzi pia nawahurumia hii ngoma ya mdudu corona itachukua mda,wasahau kabisa swala la shule.
Sent using Jamii Forums mobile app