Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hata wakati wa kumuapisha nchemba kamuweka mbali kabisa.
Ila jamaa anakohoa kohoa ..
 
Kila mtu ajilinde na ailinde familia yake, tujaribu kuiga hata mfano wa Rais basi! Yeye keshajifungia usisubiri akuambie jifungie
Mkuu hii kitu hata kama utajifungia ndani for 100% lakn bado kutakuwa na uwezekano wa kuipata ikiwa majority ni +, ebu fikilia upo home kwako unavuta hewa safi kumbe kuna kiswampa njia kapita karibu na home kwako kakohoa ama kapiga chafya na huyu kiswampa njia ni +. Lakin hajijui na haonyeshi dalili zozote zile.

Kama ukifutilia huu ugonjwa hapa nchini ilianza mugonjwa alisafiri hivi karibuni kwenye inchi ambazo zinamaambuki, tukaja mgonjwa hana history ya kusafiri. Na sasa tutakuja mgonjwa hana history ya kutoka ndan kwake.
 
Mwenye macho na aone. Na mwenye masikio na asikie. Nimekuelewa Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama Jabiri Hamza(Oil) ina #COVID-19 wewe unaiogopa nini sasa... Basi usile hata chakula coz kina hiyo nn cjui



Napenda kujifukiza
 
Alafu jamaa,alikuwa hajiamini ktk hotuba yake.kwa mfano neno'''yaweza kuwa, wataalamu hawako vizuri,au vifaa vya upimaji viko vile''' duh! Labda me sielewi jaman?.
 
Aisee yani mtu hasira zimempanda vileee!!Nimeshangaa sn kwa mtu ambaye Ni rais anakuwa na hasira kwa kiwango kile!!!!
Mungu wasaidie watanzania.


Arudi dar na dodomaa watanzania wanataka hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasiasa ni mwanasayansi ni watu wawili tofauti. Sasa kwenye hili janga tutajua nani wa kuwasikiliza..
Ila kwa upande mwingine na yeye ni mwanasayansi pia, kinachotia shaka alitumia maabara gani katika ukemia wake kiasi kwamba anatilia shaka mambo yaliyo wazi kabisa. Au hajui korona imo katika vitu pia ndio maana kuosha mikono kunasisitizwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee yani mtu hasira zimempanda vileee!!Nimeshangaa sn kwa mtu ambaye Ni rais anakuwa na hasira kwa kiwango kile!!!!
Mungu wasaidie watanzania.


Arudi dar na dodomaa watanzania wanataka hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usanii tu, yuko mbele ya kamera, inabidi awe kama bongo movie ili atishe watu. Yeye anajidai ana hasira Chato anafanya nini? Atoke aje apambane nayo kama atachukua round.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaikimbia ikulu Dar
Kaikimbia ikulu Dodoma.
Halafu anataka mumwone sii mwoga
Ngoja basi tumone sii mwoga ila ukweli utabaki pale pale kwamba jamaa ni mwoga aliyekimbia uwanja wa mapambano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajidai kama mcheza mazingaombwe hivi, tusiamini tunachokiona. Kama WaTz kweli wanamuona rais wao kajifungia huko, na anawaambia wao wajiachie na wanakubali huo ujumbe, basi mazingaombwe yake sio ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…