Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mpango wa Mungu umefaulu Mkuu,sifa na utukufu umrudie yeye daima!!..
 
Your prayers have been successful approved [emoji736]
 
Hatimaye safari imefikia tamati
 
Kesho wanafukia mgomba. Kwishaaa dictator uchwara
 
Kuna maneno mengi ambayo yakisikika masikioni tu unahisi (predict) mbeleni kuna utapeli/wizi unakuja kwa kasi ya 4G.

Kwangu mimi nikisikia maneno yafuatayo akili inakaa kitako kabisa najua ninae ongea nae/anae ongea ni mwizi na fisadi wa kutupwa.

Nitataja machache,nawe orodhesha yako pia.

1. Beberu/Mabeberu[emoji58]
2.Wanyonge[emoji16]
3.Uzalendo[emoji1751]
4.Tumechezewa sana[emoji33]
5.Uchumi wa kati[emoji24]
6.Hapa kazi tu.[emoji1787]
7.Tanzania ya Viwanda [emoji23]
8.Mtetezi wa watu maskini.[emoji849]
9.Mniombee[emoji847]
10.Nimesakirifiiz maisha yangu kwa ajili yako[emoji20]
11.Matajiri[emoji3063]

ONGEZA YAKO.

Ndugu zangu, tuendelee kujifukiza,kunywa limao na Tangawizi,na barakoa za kushona, maendeleo hanaya chama[emoji120]
 
Si jambo jema kwa mtu mwenye akili timamu kupambana na marehemu.
 
Tumpumzisheni sasa jamani mizigo aliyobeba ni mingi sana
 
Mmesubiri yuko kaburini,hawezi kufafanua jambo lolote,wala kujitetea kwa namna yoyote ile,mnaanza kumnanga.
Kwakweli kuna watu wanafiki sana,hadi wale unaofanya nao kazi,unakuta nao ni wanafiki,namsifu waziri mkuu,yupo kimya hadi sasa.
 
Tumechezewa sana , hiyo kauli imeniingia sana na ni ukweli . Mpaka majirani kutucheka kwa kukalia uchumi . Nasikitika aliyetuamsha hayupo ila mrithi wake ataendeleza .

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…