Kuna maneno mengi ambayo yakisikika masikioni tu unahisi (predict) mbeleni kuna utapeli/wizi unakuja kwa kasi ya 4G.
Kwangu mimi nikisikia maneno yafuatayo akili inakaa kitako kabisa najua ninae ongea nae/anae ongea ni mwizi na fisadi wa kutupwa.
Nitataja machache,nawe orodhesha yako pia.
1. Beberu/Mabeberu[emoji58]
2.Wanyonge[emoji16]
3.Uzalendo[emoji1751]
4.Tumechezewa sana[emoji33]
5.Uchumi wa kati[emoji24]
6.Hapa kazi tu.[emoji1787]
7.Tanzania ya Viwanda [emoji23]
8.Mtetezi wa watu maskini.[emoji849]
9.Mniombee[emoji847]
10.Nimesakirifiiz maisha yangu kwa ajili yako[emoji20]
11.Matajiri[emoji3063]
ONGEZA YAKO.
Ndugu zangu, tuendelee kujifukiza,kunywa limao na Tangawizi,na barakoa za kushona, maendeleo hanaya chama[emoji120]
View attachment 1747318