Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hakuna lolote ndoto za alinachaKuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa....
HAYA ZUNGUSHAA ZUNGUSHAAA TENAA ZUNGUSHA MIKONOOO....MABADILIKOOOO!!!
Sasa a sikusumbui kututuhangaisha mara tufanye mara hakuna Sukari atupisheee aendelee c ha ma sio nji Maana yupo ajili ya kulingana Chama chenu huku anatutaabisha[emoji57] [emoji57] [emoji57]Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
tunaelekea katika mabadiliko ya kweli sasa ww endelea kuzungusha mikonoWewe ambaye huzungushi mikono na unayejua mwelekeo si utwambie tunaelekea wapi?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] Kuna watu wanataka magufuli aonekane mungu mtu Wakati ni binadamu anayefikiri kama Sisi na ambaye Anakose a sana Tu hawataki aambiwe.... Wanamfananisha na lowasa na mbowe na lisu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] maboguzWatanzania tuna akili fupi sana ndo maana hatusonge mbele kama taifa na mtu mmoja mmoja, maada ni nzuri inawweza kutusaidia kuibua njia mpya za kumsaidia rais kama ushauri, mtoa mada hana nia mbaya na rais bali anajaribu kutushirikisha tuangalie mwelekeo wa sisi kama taifa, kwa hiyo tuache kumkebehi tuchangie mada kwa mtazamo chanya kwa kutoa michango na ushauri wa kujenga taifa.
Viwanda vinajengwa kwa mda wa miezi 6?.tumia akili usitumie ubongo wa matope.Fanya Kazi lipa kodi.somesha familia yako iwe fresh hayo ni sehem ya nchi kukua kiuchumi.Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Acha kurukaruka kama Popcorn ikiwa jikoni...Jamaa haelewi amekuja kuuliza humu kwa wanaoelewa Inaonekana wewe unaelewa Nchi inakoelekea Msaidie jamaa...Kwa mzungusha mikono kama wewe huwezi jua muelekeo wa nchi...subiri 2020 uwazungushie tena mikono
We we MTU huu sio wakati wa Kampeni acheni UpumbavuKuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa....
HAYA ZUNGUSHAA ZUNGUSHAAA TENAA ZUNGUSHA MIKONOOO....MABADILIKOOOO!!!
kwa upande wangu hata mimi sielewi muelekeo wa muheshimiwa mkuu wa kaya, but nafikiri tumpe muda labda tunaweza kuona mabadiliko kadhaa...
Nashauri tumpe muda kidogo.
Kwa mzungusha mikono kama wewe huwezi jua muelekeo wa nchi...subiri 2020 uwazungushie tena mikono
Viwanda vilikufa baada ya serikali kuja na sera ya kujiondoa kwenye biashara na kuvitelekeza sasa bado ile sera ipo hivyo viwanda vitakua na usimamizi upi ?mkakati wa kufufua nani atakae husika pia ukiangalia bajeti haionyeshi mwelekeo,sukari kabla ilikua 2000 kwa kilo leo sh 3000 sembe 1000 kwa sasa 1200-1500 ugumu wa maisha umeongezeka sasa wewe chekelea kwa kuwa kwako maisha mazuri ni lazima ukalie ushabikiKwa mzungusha mikono kama wewe huwezi jua muelekeo wa nchi...subiri 2020 uwazungushie tena mikono
Kwanza sio sahihi kuamini kwamba Rais ana akili nyingi kupita wananchi wake....Kwa sheria zetu time ndio inayoamua nani atawale...Nikweli kwa sasa bado hajawa na Bajeti yake anatumia ya awamu iliyopita!,,,,,,nikweli kwamba muda aliokaa madarakani hautoshi kujua kama anafanikiwa au lah...Kwanini baadhi ya watu wanaaminisha watu Magufuli ndio Mwarobaini wa Nchi hiiMuda mwingine unaweza kuonyesha uwerevu lakini kupitia uwerevu wako ujinga wako pia ukaonekana, hivi Dkt Magufuli tangu aingie madarakani alikua anaenda na bajeti aliyoiandaa au aloandaa Kikwete? Tabia za namna hii haitusaidii sisi kama watanzania, hata kama aumpendi jitahidi kupima kwa haki, nafikiri unafuatilia bunge la bajeti na kilichomo unakiona hapo ndo tuanzie, nchi haiendeshwi wewe unavyotaka bali Rais anavyoona inafaa muda wa kupima anafanikiwa au la bado aujafika kupitia bajeti hii tutaweza kupima ni kwa kiasi gani Rais anafanikiwa lakini hii tabia ya kumkatisha tamaa Rais haifai ni tabia za watu wenye husuda na zaidi wamejaliwa wanawake kuwa nazo nchi ikiyumba sio yeye Rais atakayeteseka bali ni sisi wananchi, ni jukumu letu kukosoa pale palikosewa na kuonyesha njia sahihi ya kupita lakini kukosoa tu bila kuonyesha nini kilitakiwa kifanyike hiyo ni tabia ya kike
Tell them... these demented people hamnazo kabisa..Watu hawafanyikazi kwa masaa yawapasayo kuwa kazin.au hafanyi kabisa wanataka vya kudandia tuu.maisha ya sasa piga Kazi usiangalie eti serikali ikuwezeshe.wewe nchi yako umeifanyia nn?.watu mlishazoea wizi makazin .kupeana Kazi kindugu ..kupata Kazi kwa cheti feki.kwa maisha ya sasa lazima yawasumbue.hvyo tafuten mbinu mpya.hata mtoto wa baba jambazi pindi baba yake auliwapo kwa ujambazi huwalaum saanaaa hao walio muua babayake.
Mkuu waombe MODS wakuunge kule kwenye Jukwaa la GT kule wapumbavu...hawaingii hata kama MTU ana mihemko ya chama chake anabaki nayo moyoni lkn huku ni matatizo plusHivi ni sehemu gani, jf, au mitandao mingine naweza pata hoja na mada zinazojibiwa Wa hoja. Maana inaonekana kama huwa kuna watu wanatumwa kujaribu kila mjadala sijuini kwa faida ya nani.
Nitarudi bdae
Unaanza kumkana jamaa yako aliyesema anataka kuifanya Tanzania ni nchi ya viwanda na donor country!!Chama cha mabozo!Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!