Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
umesema hatujui tatzo la sukari litamalizwa kwa kuboresha viwanda ,kuongeza uzalishaji wa miwa,kuagiza kutoka nje ama kuvamia magodaun ya watu?
sasa wewe ukiwa kama mtanzania katika hizo njia ulizosema apo we kama wewe unafikri ipi inafaa? nijibu kwanza ndo tuendelee na mjadala.
sasa wewe ukiwa kama mtanzania katika hizo njia ulizosema apo we kama wewe unafikri ipi inafaa? nijibu kwanza ndo tuendelee na mjadala.