Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ndio lengo lake la kutawala mpaka kufa kwake,sio milele ndio maana ukamsikia anasema tumechelewa sana kwakua yeye hakuwahi mapema kuwa Rais. Ninaamini ndie Rais wa Mwanzo wa Tanzania atakae omba katiba ibadilishwe ili iongezewe muda wa kutawala tena miongo mingine. Kwakua wale waliopita kwake hawakuwa na cha maana walichofanya atahisi na atakae kuja pia atamuharibia mipango yake ya wiwanda,madaraja,ndege,elimu bure n.k ambayo amewafanyia Watz.
 
Kuna kila dalili kuwa huyu jamaa anaweza akafanya 'attempt' ya kuliconvince Bunge ili liweze kuondoa kile kipengele kinachoweka ukomo wa vipindi vya kutawala.......
Kuna uwezekano Mkubwa maana itafika 2020 atakuwa hajajenga hata kiwanda kimoja, shule nyingi za msingi na sekondari zitakuwa zimechakaa kwa kukosa matengenezo, watu watakuwa hawawapeleki watoto wao kwenye shule za serikali kwa kuwa zitakuwa na mazingira hatarishi. Uchumi utakuwa umevirugika atajikuta yuko desperate kwa kushindwa kwa Sera zake.Ataboresha udikteta wake.
 

Kweli
 
Mafisadi hamlali? Naona gia namba moja haikai wala mbili haiingii...tulieni mnyoroshwe..mpaka 2020 mtaadabika tu
 
Eti fyatueni watoto nitawasomesha bure, huyu mzee bana yaani anafikiri watanzania tunawaza kufyatua watoto
 
Wewe wasema
 

kwa bahati mbaya sana ninashangazwa na watu ambao huchukua maneno ya utani katika hotuba na kujaribu kujenga hoja. Hizi ni dalili za kufikisika. Nilitegemea tungejadili mikatika JPM anayoeleza kufufua na kujenga viwanda hapa nchini. Lakini uzi nyingi zinazoletwa humu zinzkwepa hoja za msingi kwa makusudi na kujikita katika mambo ya utani ndani ya hotuba zake.
 
Kuna haja ya kutunga sheria ya kumshitaki Rais atakae vuruga mifumo mizuri ya Nchi na ikiwezekana tuanze na Magufuli.
Ningefurahi km ingewezekana, unafikiri kwa bunge hili wataipitisha hyo sheria... Kisha yeye aisaini?
 
Ukiwaondoa wasukuma watanzania walio baki hakika wamechoka na siasa zake za kibaguzi na kandamizi. Mbaya kuliko Ni teuzi zake hazizingatii kanuni yoyote isipokuwa utashi wake tu. Katiba ameiweka pembeni.
Jk nyerere angefufuka leo na kuona jinsi serikali inavyo endeshwa angezimia hapo hapo
 
Ukiwaondoa wasukuma watanzania walio baki hakika wamechoka na siasa zake za kibaguzi na kandamizi. Mbaya kuliko Ni teuzi zake hazizingatii kanuni yoyote isipokuwa utashi wake tu. Katiba ameiweka pembeni.
Hao wasukuma si ndio wamemweka hapo kwa kura nyingi? Au haujui maana ya tyranny of numbers? Wanaoamua Rais awe nani ni kanda ya ziwa, dar, moshi, arusha, mbeya mlimnyima kura ilisaidia nini kanda ya ziwa waliposema sema ndio? So endeleeni, 2020 tunamjazia tena atuletee maendeleo, nyie endeleeni kuzungusha mikono mpaka 2025.
 
Serikali ya mwendo kasi inatisha hii
 
 
Tulieni jaman hiki ni kipindi cha mpito tu!!!! Wakat huo muwe mnajiandaa kuidhinisha Rais wa Watanzania 2020!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]naongea tuu lkn
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…