Indian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 821
- 710
Ndio lengo lake la kutawala mpaka kufa kwake,sio milele ndio maana ukamsikia anasema tumechelewa sana kwakua yeye hakuwahi mapema kuwa Rais. Ninaamini ndie Rais wa Mwanzo wa Tanzania atakae omba katiba ibadilishwe ili iongezewe muda wa kutawala tena miongo mingine. Kwakua wale waliopita kwake hawakuwa na cha maana walichofanya atahisi na atakae kuja pia atamuharibia mipango yake ya wiwanda,madaraja,ndege,elimu bure n.k ambayo amewafanyia Watz.