Wengine wanajiita KOTA PINIWeweee uko wapi? East afrika yote kwa sasa inatawaliwa kwa mfumo mmoja! Kaka zake Rwanda,Uganda,Burundi nk hujawaonaaa! Ni hiviii marufuku kutoka ikulu! Unatokaje ikulu kirahisi! Kalaga baho!
Kwani hayo maneno hakuyatamka?kwa bahati mbaya sana ninashangazwa na watu ambao huchukua maneno ya utani katika hotuba na kujaribu kujenga hoja. Hizi ni dalili za kufikisika. Nilitegemea tungejadili mikatika JPM anayoeleza kufufua na kujenga viwanda hapa nchini. Lakini uzi nyingi zinazoletwa humu zinzkwepa hoja za msingi kwa makusudi na kujikita katika mambo ya utani ndani ya hotuba zake.
Labda kwa sababu ndugai kapona hilo linawezekanaKuna haja ya kutunga sheria ya kumshitaki Rais atakae vuruga mifumo mizuri ya Nchi na ikiwezekana tuanze na Magufuli.
Hii naamini kwa 95% Ndio ukweliKuna kila dalili kuwa huyu jamaa anaweza akafanya 'attempt' ya kuliconvince Bunge ili liweze kuondoa kile kipengele kinachoweka ukomo wa vipindi vya kutawala.......
Una cha kupoteza Shemeji ameshaemea ukiamka unakwenda kupanga folen ya msosi ujui hata bei ya chumvi wanaume wanaposema maisha magumu wewe kaa kimyaHao wasukuma si ndio wamemweka hapo kwa kura nyingi? Au haujui maana ya tyranny of numbers? Wanaoamua Rais awe nani ni kanda ya ziwa, dar, moshi, arusha, mbeya mlimnyima kura ilisaidia nini kanda ya ziwa waliposema sema ndio? So endeleeni, 2020 tunamjazia tena atuletee maendeleo, nyie endeleeni kuzungusha mikono mpaka 2025.
Rudia ulicho kiandika ndio utajua sukari ina kazi yake mwilini na kwa afya ya akiliSijpui kuhusu huko kwenu...lakini huku kwetu sasa shuga ni 1500...sukari sio agenda tena, mpo hapo wazee wa matukio?
Kila ninapo msikliza naona amenogewa na kazi hii ya Urais ingawa bado hajajuwa namna ya Ku bahave na kuwa kiongozi Mwenye tija.Jambo moja is too ambitious kiasi kwamba kama malengo take hayatafikiwa atatamani abaki milele. Ukitaka kuja undani Wa mtu angalia marafiki zake.Rafiki take Mkubwa Ni Kagame ! Naam, president Wa muyaya Wa Rwanda!!!Umemsahau mzee wa pushapu?
yaani wewe uliona hilo la utani tu? Hamna mengine katika hutoba yake aliyoyaongea kwa dhati ya moyo wake?Kwani hayo maneno hakuyatamka?
Na hilo siyo la utani amelisema kwa dhati kutoka mdomoni mwakeyaani wewe uliona hilo la utani tu? Hamna mengine katika hutoba yake aliyoyaongea kwa dhati ya moyo wake?
Na hilo siyo la utani amelisema kwa dhati kutoka mdomoni mwake
Huyu atakuja kuifanya tz kuwa kama Zimbabwe, atavuruga uchumi wote na Kila kitu subirini tu
Basi kimponzacho samaki ni mdomo wakehata maneno ya utani hutamkwa na mdomo pia
Kila ninapo msikliza naona amenogewa na kazi hii ya Urais ingawa bado hajajuwa namna ya Ku bahave na kuwa kiongozi Mwenye tija.Jambo moja is too ambitious kiasi kwamba kama malengo take hayatafikiwa atatamani abaki milele. Ukitaka kuja undani Wa mtu angalia marafiki zake.Rafiki take Mkubwa Ni Kagame ! Naam, president Wa muyaya Wa Rwanda!!!
Kuhamasisha uzazi bila mpango ni suala la utani?kwa bahati mbaya sana ninashangazwa na watu ambao huchukua maneno ya utani katika hotuba na kujaribu kujenga hoja. Hizi ni dalili za kufikisika. Nilitegemea tungejadili mikatika JPM anayoeleza kufufua na kujenga viwanda hapa nchini. Lakini uzi nyingi zinazoletwa humu zinzkwepa hoja za msingi kwa makusudi na kujikita katika mambo ya utani ndani ya hotuba zake.
Basi kimponzacho samaki ni mdomo wake
Huna uwezo wa kunichagulia cha kusikiliza maana mimi siyo mpiga marimba kama weweHIVI HAYA HAPA CHINI TOKA MDOMONI MWAKE HUKUYASIKIA?
Rais Magufuli alisema alipoingia alikuta makusanyo ya mapato ni Sh bilioni 850, lakini baada ya kubana mapato yaliongezeka hadi Sh trilioni 1.5, akisema makusanyo hayo yalikuwa yakiliwa na wachache wachache walioko ngazi ya juu.
Aliongeza kuwa spidi yake ya kufanya kazi ni kubwa hivyo hataki kuona mtu anamkwamisha kwa kuwa amepanga kufanya mambo mazuri. Alisema ndio maana wameamua kujenga reli ya kisasa ili kubeba mizigo ya kutosha, kununua ndege tatu na mbili zitaingia mwezi ujao na kwamba serikali imetenga Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuboresha viwanja vya ndege vya Iringa, Songea na Musoma.
Alizitaja huduma nyingine ambazo serikali imeamua kuboresha ni umeme ambapo mradi wa Kinyerezi II una megawati 240 na Kinyerezi I utaongezewa megawati 185 na pia Kinyerezi III na IV inakuja ili kuongeza usambazaji wa umeme nchini uwe mkubwa.
Alisema bajeti ya maji mwaka huu imeongezwa na pia kwa Dar es Salaam kuna mradi wa maji unakuja, na pia wamepata mkopo wa dola za Marekani milioni 500 (sh trilioni 1.05) kutoka Serikali ya India.
Kwenye sekta ya afya, alisema wametenga Sh trilioni 1.99 na kwamba wametenga Sh bilioni 200 kwa ajili ya kununulia dawa hospitalini tofauti na mwaka uliopita ambapo ilitengwa Sh bilioni 25.
Chanzo: Habari Leo