rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Yanakuwajetunaelekea katika mabadiliko ya kweli sasa ww endelea kuzungusha mikono
Mwache huyo na kachama kao wanachama wasioweza kujaza darasaYanakuwaje
Majibu murua kwa kada wa chama, unafaa kuwa Waziri wa mambo ya ndaniNenda kakamue maziwa Monduli kama huelewi muelekeo wa nchi
Na kwa msoma namba kama wewe hunaju?Kwa mzungusha mikono kama wewe huwezi jua muelekeo wa nchi...subiri 2020 uwazungushie tena mikono
Huwezi kujibu hoja nzito hizo lkn ungeonyesha utaifa wako kwakutoa ushauri mzuri kwa raisiKwa mzungusha mikono kama wewe huwezi jua muelekeo wa nchi...subiri 2020 uwazungushie tena mikono
Hee kwahiyo tunamchagua rais wa nn vileAkupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Hivi mkuu makusanyo ya mwezi April yalikuwa trilioni ngapi? Na za mwezi May je?
Zamani tulikuwa tunatangaziwa mapato na matumizi ya serikali lakini kwa sasa ni kimya kabisa. Pia ukiongea na watumishi serikalini watakwambia hakuna hela ya DEVELOPMENT imetumwa mwezi wa nne na wa tano, pia hata hela ya kuendesha ofisi maarufu kama OC haijatumwa kwa miezi miwili. Hii ni dalili kuwa nchi haina muelekeo mzuri kiuchumi ingawa sisi wengine tunampa muda huyu nahodha wetu hadi atakapoanza kutekeleza bajeti yake mwezi July
Maneno yako ni kweli, nia anayo ila hajajipanga. Kiongozi unatakiwa uwe na vision halafu wizara na targets na goals ili kama taifa tuje na sera za kupelekea kufika anakotaka Rais. Shekh wa Dubai huwa anakuja na vision halafu watu wa chini wanajipanga. Lazima kuwe na clear goal, S. Specific goal. M.measurable.A. achievable. R. realistic. T. Timeline bila hivyo we lost.Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo.