Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Natamani uchaguzi uwe hata leo. Nakuapia, huyo rais wa mioyo yenu, atabaki humo humo na hatathubutu kutoka tena!Nashuhudia kura za CCM uchaguzi ujao kuvunja historia kwa kuwa chache zaidi ya miaka yote
Nakumbuka watu tulikuwa na imani na kikwete na kumshangilia kwa miaka miwili, lakini huyu hata mwezi tayari tushamchokaa
Ungeyasema haya mtaani kwetu, ninauhakika ungetemewa makohozi, jamaa yako watu hawataki kumsikia hata kwa jinsi alivyoharibu uchumi! Mtaani hakukalikiNinashuhudia mafisadi yakisakwa; Ninashudia mafisadi yakitumia vyama vya siasa kumdhoofisha; Ninamshuhudia akipambana NATO bila kuchoka; Ninamshuhudia wazalendo wa nchi hii wakiwa nyuma yake katika mapambano ya kuijenga Tanzania mpya; Ninamshuhudia watu wa mataifa mbalimbali wakitamani angelikuwa rais wao; Ninamshuhudia akiendelea kufanywa 'SI UNIT' ya uongozi bora Africa; Ninamshuhudia, Ninamshuhudia ...!
Mbona unaandika kama hii nchi Dikteta ameipokea toka utawala wa mafisadi wa chama cha CUF au TLP .... ?![emoji15]Wabongo walikuwa wamezoea mafisadi yao sasa yeye kayafurusha wapi na wapi? Nimeanza kukata tamaa na nchi hii na hata aje Yesu mwenyewe atutawale mijitu italalamika tu.
Kupigana na mafisadi na wa wakwepa kodi siyo kazi lelemama. Ni kazi ya hatari. Ni kazi ya kujijengea maadui. Ndiyo maana wengi huwa wanaikwepa. Huyu yeye angalau amejaribu na kusema kweli nidhamu yetu kama taifa imerudi na pengo hatarishi lililokuwa linakua kwa kasi kati ya mafisadi na watu masikini limeanza kupungua.
Kama unatafuta uongozi ili upendwe au usiwe na maadui hasa katika nchi iliyooza kama yetu wewe hufai. Mungu Amsaidie angalau afikie nusu ya malengo yake.
CCM wameifungia BBC ?!!!!!!!BBC Swahili wamerusha habari kuwa Magufuli afungia radio mbili kwa kosa la kumkosoa.
Nimewapenda BBC bure kwakua hata hawajamtaja Nape wamemtaja wanayeamini kamtuma Nape.
Ulitaka niandikeje? Mimi nimeandika kama Mtanzania mzalendo na simo katika ushabiki wa kisiasa kama wewe. Ndo maana umeshindwa kunielewa!Mbona unaandika kama hii nchi Dikteta ameipokea toka utawala wa mafisadi wa chama cha CUF au TLP .... ?![emoji15]
Kachokwa kama tulivyo mchoka Lipumba CUF.Tatizo kukamia sana. Mkamia maji mata zote hayanywi.Tutajikuta miaka imeisha hakuna kiwanda hata kimoja.Nakumbuka watu tulikuwa na imani na kikwete na kumshangilia kwa miaka miwili, lakini huyu hata mwezi tayari tushamchokaa
Sitaki hata kumuona.....Nakumbuka watu tulikuwa na imani na kikwete na kumshangilia kwa miaka miwili, lakini huyu hata mwezi tayari tushamchokaa
AminaNashuhudia kura za CCM uchaguzi ujao kuvunja historia kwa kuwa chache zaidi ya miaka yote
Mmeanza lini?Endelea kushuhudia tu,nchi hua haiendeshwi kishikaji
Nashindwa kuelewa kwa nini ukabila umetamalaki ndani ya miezi kumi tu ya utawala wake!? Mmebakia wasukuma tu mnaoamini kuwa anapambana na mafisadi wakati wazee WA escrow wako mtaani wanatumia zile hela na IPTL inaendelea kulipwa.Wabongo walikuwa wamezoea mafisadi yao sasa yeye kayafurusha wapi na wapi? Nimeanza kukata tamaa na nchi hii na hata aje Yesu mwenyewe atutawale mijitu italalamika tu.
Kupigana na mafisadi na wakwepa kodi siyo kazi lelemama. Ni kazi ya hatari. Ni kazi ya kujijengea maadui. Ndiyo maana wengi huwa wanaikwepa. Huyu yeye angalau amejaribu na kusema kweli nidhamu yetu kama taifa imerudi na pengo hatarishi lililokuwa linakua kwa kasi kati ya mafisadi na watu masikini limeanza kupungua.
Kama unatafuta uongozi ili upendwe au usiwe na maadui hasa katika nchi iliyooza kama yetu wewe hufai. Mungu Amsaidie angalau afikie nusu ya malengo yake.
mafisadWabongo walikuwa wamezoea mafisadi yao sasa yeye kayafurusha wapi na wapi? Nimeanza kukata tamaa na nchi hii na hata aje Yesu mwenyewe atutawale mijitu italalamika tu.
Kupigana na mafisadi na wakwepa kodi siyo kazi lelemama. Ni kazi ya hatari. Ni kazi ya kujijengea maadui. Ndiyo maana wengi huwa wanaikwepa. Huyu yeye angalau amejaribu na kusema kweli nidhamu yetu kama taifa imerudi na pengo hatarishi lililokuwa linakua kwa kasi kati ya mafisadi na watu masikini limeanza kupungua.
Kama unatafuta uongozi ili upendwe au usiwe na maadui hasa katika nchi iliyooza kama yetu wewe hufai. Mungu Amsaidie angalau afikie nusu ya malengo yake.
ni nilichogundua uongozi ni kipaji na sio elimuKachokwa kama tulivyo mchoka Lipumba CUF.Tatizo kukamia sana. Mkamia maji mata zote hayanywi.Tutajikuta miaka imeisha hakuna kiwanda hata kimoja.
Lakini si mnaendelea kumwombea kwa Mungu? Hilo msisisite, siku mkiacha kumwombea mtegemee moja kati ya haya, atawapatia maburungutu ya fedha au atawatumbua.Yaaaani huyu tushamchoka kwa kweli.
Huyu honemoon imeisha vipi? Si aliwaambia wadanganyika kwamba akiwa yeye watu watalimia kwa meno na walimtaka akachukue fomu? Baada ya kusimikwa na Tume huru aliwaambia wadanganyika atawatumbua na wenyewe hawakufurahi na kumpigia makofi? Sasa honeymoon inaishaje hapo?Mbona honeymoon yake imeisha so fast?