technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Yaani mwaka unaisha kwa kuajiri wakuu wa mikoa na wilaya?Uchumi umemshinda anaelekeza hasira kwa wapinzani!!
Watapanda watalii wetu matajiri,tumeshapiga marufuku watalii njaa, backpackers.Hizo ndege watapanda kina nani kama watu hawana pesa mtaani?
Hata huku vijijini wakulima kila familia unakuta wamepaki pikipiki TOYO wanaving'amuzi vya azam tv.yaaani ni vigelegele.Hivi ni kweli watu hawana pesa mitaani? Mbona watu naona wanaendelea kununua magati, kujenga nyumba, kuchangia harusi hadi 300,000 kwa mtu nk. ???
Kwani uliposikia Ugiriki imefilisika unadhani kulikuwa hakuna watu wanaojenga au kununua nyumba, au magari? Ukisikia hakuna hela jifunze jinsi watu walivyoshangilia serikali ilivyofuta ada ya shilingi 20,000 au 70,000 kwenye shule za Umma. Jiulize hiyo ni hela kweli ya mtu kuikosa?Hivi ni kweli watu hawana pesa mitaani? Mbona watu naona wanaendelea kununua magati, kujenga nyumba, kuchangia harusi hadi 300,000 kwa mtu nk. ???
Maisha lazima yaendeleeHivi ni kweli watu hawana pesa mitaani? Mbona watu naona wanaendelea kununua magati, kujenga nyumba, kuchangia harusi hadi 300,000 kwa mtu nk. ???
Kijiji gani upo kitajeHuku vijijini kila familia ina pikipiki, powertiller, ving'amuzi watu wanakula bata tu.
Trip za dar to dom, dom to dar.Hizo ndege watapanda kina nani kama watu hawana pesa mtaani?
Tatizo ni informal education hawajifunzia mambo ya kitaaNimeapa kamwe sitajiendeleza kielimu. Mimekatishwa tamaa namaphd holder uchwara. Watu wanadhan uchumi ni weledi wa kukariri vitu na namba.
Nimeona nyingine anayo mama samiaTrip za dar to dom, dom to dar.
Itakuwa Chato!!Kijiji gani upo kitaje
Kwani waliajiriwa watu wapya au ni wale wale waliopo UDOM waliongeweza mzigo wa kazi hadi wakagoma?Walimu waliokuwa wameajiriwa Udom kuendesha program ya walimu 8000
Watu wa clearing and forwarding pale bandarini waliokuwawakishusha sukari na watu wa malori waliokuwa wakisafirisha sukari kwenda mikoani!!
Ajira za kutembeza watalii hazipo tena baada ya watalii kupunguza na madereva wa malori ya tour and travel zimepungua!!
Wafanyakazi wa vitengo vya VIP vya serikali ndani ya ndege za kwenda nje wamepunguzwa kazi maana hakuna wateja tena waziri anayesafiri ni mmoja tu waziri wa mambo ya nje!!
Ajira za machinga Mwanza na Dar zipo mashakani baada ya kutimuliwa town!!
Wakati huo yeye ajatengeneza ajira hata moja zaidi ya Mawaziri,wakuu wa mikoa,wilaya,Makatibu tawala wa mikoa na wilaya!!
Yaan tangu alete kampen yake ya kudis pooltable kanilaza njaa huyu mzee sitamsahau maisha nlikua per day nafunga hadi 18k saiz haizidi 3k dah nimeisoma namba
Alafu analeta wanyarwanda kuwaajiri hukukutoa ajira za kikwete je serikali hii imebuni ajira zipi mpya au bado mpaka viwanda