Ili uje na sumu yako ya pepoooz, na fitna zenu mbalimbali kaeni hukohuko dar.Kijiji gani upo kitaje
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Wanaoporomosha matusi hawajui hali za ofisi zetu wao hushinda kwenye mitandao tu
Wew hujielewi, ungekuwa unajielewa usinge sema ivo!!Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Wale Kijani watakwambia tumpe mda wakati siku njema huonekana asubuhi,,, Hii imeshafikisha miezi kumi hamna hata dalili,πππππππMnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Mi nikionacho ni kuwa ANATAKA KUJENGA YERUSALEM kwa siku mojaBinafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
wewe hukuwa mwana ccm kama tunavyowafahamu nduguzo.WADAU WA JAMII FORUM MIMI NI KADA WA CCM WA MDA MREFU ILA KUANZIA LEO NAACHANA NA CCM NA SITAJIHUSISHA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA NIMEONA SIASA NI MCHEZO MCHAFU SANA KWA SABABU ZIFATAZO.
01.WANASIASA KUSEMA WAONGO KWA SABABU YA AHADI WANAZOZITOA KWA WANANCHI BILA KUTEKELEZA MFANO.ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA HALITAZIDI MIEZI MIWILI HUU TAYARI NI MWEZI WA TATU
02. WANASIASA KUTOJARI WANANCHI WAO KWA KUTOA KAULI TATA MFANO.WANAOLALAMIKA HAKUNA HELA NI WAPIGA DILI.
Labda tutakapofika ndio tutajua tulikua tukielekea wapi??Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.