Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ungetoa na sababu basi, hizi chuki kavu kavu sio za kuamini sana.
 
Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
Hawajamaa wanaweza wakasema umeleta uchochezi eti kuchukia serikali
 
Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
Muda wa kuzungusha mikono umekwisha. Ngojea tena 2020 uchague jiwe na kudeki barabara.
 
Jaman kama kichwa kinavyojieleza, naichukia Sanaa hii sereukwala hata inachofanya sikioni. Naijutia kura yangu kama zingekuwa zinadaiwa ningeenda kuidai yangu. Ni hayo tu asanten
Hayo maneno kwenye red sio kura yako tu hata Tanzania nzima ingelipigia kura Chadema, basi chama cha Majambazi(CCM) ingeliiba tu. Tunahitaji nguvu za umma kuondoa uchafu huu wa Majambazi chama.
 
Mkuu kwa mwandiko huu....nadhani ulikurupuka kutoka kwenye foleni ya mariwatoni.....watu kama ww hamuwezi pigia chama tukufu kama Ccm.
 
Hayo maneno kwenye red sio kura yako tu hata Tanzania nzima ingelipigia kura Chadema, basi chama cha Majambazi(CCM) ingeliiba tu. Tunahitaji nguvu za umma kuondoa uchafu huu wa Majambazi chama.

Hakukosea Mch.Msigwa aliposema atakaye mchagua Lowasa akapimwe akili....mkuu wai milembe upewe chanjo.
 
Majuto ni mjukuu, tatizo waTanzania wengi wanashindwa kufanya maamuzi sahihikwa wakati sahihi!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…