Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wote walewale tu.
Mbowe,Msigwa,Lema na Lissu walivyomuita Lowasa fisadi nyumbu za chadema walishangilia,Mbowe alivyomteua fisadi Lowasa kuwa mgombea wa Chadema nyumbu za Mbowe zikashangilia .
 
Wote walewale tu.
Mbowe,Msigwa,Lema na Lissu walivyomuita Lowasa fisadi nyumbu za chadema walishangilia,Mbowe alivyomteua fisadi Lowasa kuwa mgombea wa Chadema nyumbu za Mbowe zikashangilia .
Hayo ni mambo ya siasa kwani mh jpm hufanya shughuli zake kwa mtindo wa siasa?
 
Wote walewale tu.
Mbowe,Msigwa,Lema na Lissu walivyomuita Lowasa fisadi nyumbu za chadema walishangilia,Mbowe alivyomteua fisadi Lowasa kuwa mgombea wa Chadema nyumbu za Mbowe zikashangilia .

Hii ifungulie thread yake
 
Ni kweli wote ni wale wale hata ukiangalia
Undani viongoz wakitoka ccm wanaenda chadema wakitoka chadema wanurudi ccm hawa ni wamoja ndio maana akili zina fanana
 
Ukosefu wa akili. Katika watu 4 mmoja amepungukiwa akili.
 
Vema mtumishi mwema umesema ukweli tena mawazo yako siyakuyabeza mwenyeww najua rais wangu anania ya dhati yakutukomboa wanyonge ila hajui aanzie wapi na aishie wapi.
Kweli lazima ajishushe na akubari kushauriwa lasivyo nikama tumeanza kumchoka.
Hata hizi kesi za watu kubambikiwa ni mfano tosha kabisa.
Hizi suala la diwani wa sumbawanga litazameni kwa makini ni ful siasa na huku familia zikiteseka huku watu wakitaka sifa kutoka kwa mkuu wa kaya.
 
Kwani Mh Mwinyi. Mh Mkapa Mh Kikwette. Walitupeleka wapi? Huko huko ndiko anakotupeleka. Wezi tu ndio awajui tunakwenda wapi. Waliozoea kuiba wanatafuta njia ya kumlanisha JPM. Wacheni hizo kwanza. Kwa miaka miwili.
 
Nchi inaelekea ktk kujenga umoja wa kitaifa bila kubagua dini, ukabila, ukanda wa maeneo. Ndiyo kauli ktk majukwaa kwenye kampeni za uchaguzi mwaka jana.
 
Muulize Mama'ko nyumbani atak ujibu vzr
 
Subiri tarehe 1.9.2020 Wazir mkuu akihamia rasmi Dodoma ndo utajua wapi Jpm alitaka kutupeleka kwa SAS HV endelea tu kuisoma namba.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…