Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ni rahisi Kwa serikali hii ya CCM kuudanganya umma kuwa imepunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini, ilhali tangu kuingia kwake madarakani haijatoa nafasi za ajira, na zaidi haijatengeneza mazingira mazuri Kwa sekta binafsi kuajiri.. hata mazingira ya kujiajiri si rafiki kwa vijana.

Kwa picha ya jumla, uchumi wetu unaporomoka Kwa kasi, maana taifa limetengeneza walaji wengi badala ya wazalishaji..

Wanatumia kanuni ipi hata waseme uchumi umekua??

Ama Kweli ipo haja ya kuomba malaika washuke..
 
tangu huyu jpm kaingia madarakani kampuni yetu imepunguza watu 30 na december inapunguza tena...........

sababu ni biashara kuyumba.............
 
Kiashiria cha kufanya vizuri serikali iliyoko madarakani ni namna gani wapinzani wanavyocheza ngoma! wapinzani hawachezi ngoma yao tena sasa wanacheza ngoma ya serikali tofauti na awamu iliyopita! Pia angalia hata hoja zao hao wapinzani, wanashindwa kuelewa piA kuwa sekta binafsi ikiongeza ajira nazo hizo ni juhudi za serikali!
 
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....

Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.

Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..

Tatizo hafuati KATIBA na SHERIA za nchi hilo ndilo kubwa ndiyo sabbau hatujui kesho atakuja na lipi
 
Nchi haiendeshwi kwa matakea ya rais ndiyo maana kuna miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali. Wananchi ni haki yetu kuhoji, kukosoa, kushauri na kulalamika kama mambo hayaendi vizuri. Tatizo linakuja pale anayehoji au kukosoa anapoonekana adui. Tabia hii siyo nzuri na haiwezi kutupeleka popote kama taifa

Tena ukihoji unaweza kupelekwa Mahabusu mara moja
 
POINT KUBWA IKO HAPA
1475563140607.png
 
ukweli tanzania naifananisha na taifa la giningi lilikuwa limejaa kila maovu limejaa rushwa ufisadi na mateso kwa wananchi giningi ilikuwa nchi ambayo rais wake hakosolewi giningi ilikuwa na rais ambaye yeye ndoo sheria na msemaji mkuu giningi ilikuwa na kiongozi asiyewasikiliza wapinzani rais wa giningi waliwachukia wapenda mabadiliko .

TANZANIA NI GININGI YA LEO
 
teuzi za mkuu zimesheheni watu wenye elimu ya juu kabisa,wengi ni maprofesa na madokta wa fani mbalimbali,na wengi wao wametufundisha jinsi gani tunaweza kufanya nchi isonge mbele.

mchawi mpe mwana alee!!! hao manguli waliofundisha vyuo vikuu vya ndani na nje sasa ndio wamepewa wayatekeleze hayo waliyokuwa wanayaimba madarasani miaka nenda rudi,na wakikwama hakika watadharaulika na hakuna atakayewaamini
Dalili za kukwama ziko wazi,hasa kwa.yule dokta wa wizara ya fedha,dokta huyu naamini mpaka sasa uchumi umempiga chenga,kila mahala ni malalamiko.
endelea kutaja kikosi hiki cha maprofesa na jinsi walivyokwama.
 
We fanya kazi achakulia lia mwanaume mkubwa. Maisha mazuri hayaletwi na maprofesor, isipokuwa kwa kuwajibika na kujituma. Sawa?

Chadomo kaskaz
 
teuzi za mkuu zimesheheni watu wenye elimu ya juu kabisa,wengi ni maprofesa na madokta wa fani mbalimbali,na wengi wao wametufundisha jinsi gani tunaweza kufanya nchi isonge mbele.

mchawi mpe mwana alee!!! hao manguli waliofundisha vyuo vikuu vya ndani na nje sasa ndio wamepewa wayatekeleze hayo waliyokuwa wanayaimba madarasani miaka nenda rudi,na wakikwama hakika watadharaulika na hakuna atakayewaamini
Dalili za kukwama ziko wazi,hasa kwa.yule dokta wa wizara ya fedha,dokta huyu naamini mpaka sasa uchumi umempiga chenga,kila mahala ni malalamiko.
endelea kutaja kikosi hiki cha maprofesa na jinsi walivyokwama.
ndugu yangu, hivi ushawahi kusikia au kushuhudia Prof au Dr wa elimu ya biashara billionaire? unajua sababu? Wabobezi ni wazuri wa pheory tuu hawajui practical hivyo kuchagua watu hao ni kufail sio kufauru!

Huyo hajui anafanya nini, Ndulu ni prof lakini bosi wake Balali hakua prof ila alikuwa na exposure ya kutosha na practical experience, bwana huyu angezingatia hili tungefanikiwa!
 
Tatizo hafuati KATIBA na SHERIA za nchi hilo ndilo kubwa ndiyo sabbau hatujui kesho atakuja na lipi
LEO KAMPACHIKA PROFESA LIPUMBA BUGURUNI KESHO USISHANGAE DR SLAA AKAPEWA UDJ PALE BILICANAS BAADA KUMFUKUZA MPANGAJI FREEMAN MBOWE
 
Tuko kizani tayari maana kila mahali ni vilio tu, si kwa maskini si kwa matajiri, si kwa watumishi wa umma si kwa wafanyabiashara..wote vilio vutupu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom