Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Mlizoea sana kuiba safari hii noooop! Lazima mshike adabu yenu *****..Kinehe Ngosha, punguza jazba mkuu!!! Huu mchezo hauhitaji hasira
Ustaharabu ni hekima Muhimu sana.Endelea kudeki barabara hadi makalio ya unaowapenda!!
😛Endelea kudeki barabara hadi makalio ya unaowapenda!!
Umenena Jambo la Busara!Ustaharabu ni hekima Muhimu sana.
Hahahaha wew jamaaaTulieni ivyo ndio data inaingia vizur, at msikunje midomo
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha tuisome number, nilivyo sasa unaweza dhani nina miaka 50 kumbe ata 30 sijafikisha. Tunaisoma sawa sawa
Tunachokuja kukisoma sasa n fax numberLeo kelele kibao mara ooh mikopo ya Chuo hakuna!Mara bank zimesitisha kutoa mikopo kwa watumishi wa umma, mara sukar imefichwa, mara yamebakia makopo mawili ya paracetamol,.....Hadi namba zote zitasomeka kuanzia real number,natural number,complex number, .....Si mlituona wajinga, tuone push-up zitafika wapi
Hebu tujikumbusheLeo kelele kibao mara ooh mikopo ya Chuo hakuna!Mara bank zimesitisha kutoa mikopo kwa watumishi wa umma, mara sukar imefichwa, mara yamebakia makopo mawili ya paracetamol,.....Hadi namba zote zitasomeka kuanzia real number,natural number,complex number, .....Si mlituona wajinga, tuone push-up zitafika wapi