Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ni lazima abomoe kwanza ili ajenge vizuri. Nyufa zilikuwa kubwa mno. Linchi lilikuwa linajiendea endea tu. Mavyeti feki kibao! wafanyakazi hewa kibao! wanafunzi hewa kibao! ufisadi kibao kiasi kwamba kulikuwa hakuna hata haja ya mtu kustrugle, maana kufanikiwa kwa mtu kulitokana na madili na kufahamiana tu. Si elimu wala strugle ya mtu. Nchi ilikuwa imeharibika sana na ilikuwa ikikatisha tamaa watu ambao kweli wanastrugle kufanikiwa. Mtapiga mayowe sana lakini MAGUFULI anainyoosha nchi na kurudisha utaratibu. Sasa tutaheshimiana tu. Asante Baba Magufuli Mungu azidi kukutia nguvu uirejeshe heshima ya kufanya kazi kwa bidii na watu kufanikiwa kwa bidii ya kweli na si kwa madili.
 
sasa kunyosha nchi kusababishe wanafunzi wakose mikopo?
 

Unafikiri.mlikuwa Mnadeki mkiwa wazima?
Mliingizwa kingi ndio maana tuliwapinga kwa nguvu zote.
Yako wapi mazingaombwe ya kupanda daladala kwenda chanika?
Yu wapi mwokozi aliyeenda Tandale?

Hahahahahaha ogopa sanaa
 
Dah...ni vigumu sana kuwaachia nchi wapiga dili/mafisadi
 
Umesahau Kupunguza watumishi hewa,kununua ndege ,ujenzi wa reli ya kati pia kwa SGR ..nk
Sawa mdeki barabara
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], mkuu umenichekesha sana, bila shaka mwaka 2020 watajiunga nanyi kupiga deki
 
Huna lolote!
 
Utasikia saut ikijibu......"haya matatizo hayaletwi Na serikali ya chichieeeeeemu"""""

Jibu rahis kwa maswali magumu
 

Mara hakuna kuhudhuria kilele cha Mwenge. Hela mliyoipangia bajeti mwaka mzima, sasa hivi udenda unawatoka. RUDISHENI
 
Hahahah hatari sana, namba zishasomeka hd karibia zinaisha sasa.
 
  1. Wenzio wanajenga mnara wa mpiga pushapu.
  2. Wafuasi wake wanadai makoo na vidole vinaumia mana nguvu wanayotumia na mambo anayoyatenda ni tofauti.
  3. Mstaafu mwingine anamfananisha na tembo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…