Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
unataka kuhararisha kutumiwa kwako kuwa tija kwa wengine, ndo maana unalalamika, na utalalamika sana. HAPA KAZI TU
 
Nimeipenda hiyo ya kusoma aina zote za namba, lakini si wapinzani tu ndo wanaisoma!au na lumimba nao wako kwenye kisomo cha watu wazima kama UKAWA?
 
Ukideki bara bara ndo umepata nini? kwa kiongozi gani ambaye tutamani tungekuwa naye? hata huyu akituchosha hatumuwazii yule aisee heri tubaki wenyewe tu bila kiongoziila sio yuleeeee
 
hahaha hizo zinaitwa repeating decimal
 
Hili swali la hii mada sijalielewa kabisa..Jamaa anauliza, " Si mlituona wajinga kwa kudeki barabara.......". Sasa kimebadilika nini!
Haelewi kwamba bado tunawaona wajinga!!
Hapa huwez elewa kitu
 
Hata kama utendaji wake ni wa kutukuka....ila kwa mpito huu tunaisoma number kuliko, hakuna chanjo, ajira hakuna, dawa hakuna, pesa hakuna, biashara imekuwa ngumu, bank awatoi mikopo, watalii wamekauka....kwakweli binafsi nmeisoma ipasavyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…