Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kipindi cha kampeni alipokuwa anasafiri kwa gari sisi tulisema anaogopa kupanda helkopta,lakini ile ni dalili kuwa ni mbishi na anapoamua lake hasikilizi mtu,ikafikia akapiga push up jukwaani tukasema aah rais wa push up ile ilionyesha kuwa yupo tayari kwa lolote na haogopi kelele zenu na atapambana peke yake,akamalizia na gwanda za jeshi,tukaulizana uhalali yeye kuvaa zile gwanda,ile ni ishara kuwa serikali yake itaendeshwa kijeshi na atakaeleta mchezo atashughulikiwa,mwisho akakutana na majaji hapo sasa ndio watu watafungwa sana dalili zimeshaonyesha kuwa maandamano na mikutano imepigwa marufuku,mpaka sasa upande wetu umeonekana kuchoka mapema bila kuwa na hoja za maana,mfano mtu tuliemtegemea kwa hoja anakuja na hoja ya raisi alikwenda rwanda kujifunza kudhibiti upinzani,lazima tukae chini tutafute mbinu mpya tusisubiri kama zitto alipoomba ccm mdhibiti no lazima ipatikane mikakati bila ya hivyo kweli tutamwita majina yote fashist,dikteta lakini ameziba pamba anafanya msiyoyataka,na kumwita mtu majina mabaya ni dalili ya kushindwa
kurudi nyuma kujipanga si kosa,tulishindwa kusoma dalili mapema kabisa.
 
Tatzo mlizoea kuishi kwa mazoea ndio maana mnakosa mbinu mbadala na hamtakua na mbinu mbadala za kupambna na Dr MAGUFULI kamwe MAANA ndani ya nchii kwa sasa hakuna upinzani unaojitambua kabsa zaidi ya kutegemea kushamili kupitia mapungufu ya CCM na CCM ya kipindi hiki ni tofauti kabsa.....So KIZAZI cha KUINDOA CCM madarakani si hiki kilichopo CDM kwa sasa....
 
Mi nawashangaa sana mnaolia lia...subirini mpaka mwakani ndo tutajua tunaelekea wapi..ndo kwanza anafanya service ya gari mnalia..akianza safari je ?<br /><br />Wekeni siasa pembeni tuijenge nchi yetu.
Kwani ni gari ya mtumba. .... !!? Hii safari inahitaji Brand new car!!!
 
sasa hivi naona anavita ngumu kuwahi tokea kwa rais yoyote.

ukawa wamechachamaa

ACT wamechachamaa

Maalim seif amechachamaa

Jana Kinana aliyoyasema si siri tena

wauza sukari wanasura hazujulikani wanaonja ndimu au limau

wafanyakazi ukiwauliza majibu kama hawasomeki

mwisho ni hii kauli ya mchunga mbuzi na kondoo, na muotaji wa ndoto za mchana kunawatu wanazunguka within their parry kuleta uasi dhidi ya uchair wa parry.
sasa bila kuwa bondia kama "the greatest" ukazibiti izo ngumi za mbele na nyuma wanaweza kuathiri ur leadership
 
Ameshawashinda ndio maana wanatafuta huruma kwa wananchi alafu wakirud kwa wananchi , wanamuelewa sana Magufuli
 
Na bado...kile kiti kina mwenyewe.
Kwakuwa 'mabavu' yalitumika,hizo ndizo athari zake.
Utawala wa mabavu hupingwa kila kona.
 
Anachopitia ni matokeo na gharama ya kuamua kupambana na mafisadi kwa vitendo...uzuri ni kwamba anafahamu vizuri ugumu wa vita hii na alishajitoa sadaka...kaziyako wewe ni kumuombea tu
 
Na bado...kile kiti kina mwenyewe.
Kwakuwa 'mabavu' yalitumika,hizo ndio athari zake.
Utawala wa mabavu hupingwa kila kona.
Na bado akisikia jina UDOM anapata stress akimkumbuka bintiye.Hahaha!

Bado ule mpango wa kuleta machapisho yake yeye mwenyewe (achana Div IV ya bintiye) ya PhD uko palepale .Tutayachambua kama karanga kuthibitisha zaidi kuwa watoto wa kike Genes za IQ huchukua wapi kama walivyosema wanasayansi
 
Na hivi sio mwanasiasa wala sio mwanadiplomasia an kazi sana na kubwa mno! Nchi imegoma,kodi zinashuka kila akigusa anaharibu, wafanyabiashara wame slow down,wengine hawapitishi Dar mizigo yao, mapato yanapungua kila uchwao! Kazi anayo! Ameambiwa atumie busara! Busara ni pamoja na kujipanga upya awaite wafan biashara aongee nao anataka nini? Ili wao waende nae sawa mizigo ipite Dar port!
 
Anachopitia ni matokeo na gharama ya kuamua kupambana na mafisadi kwa vitendo...uzuri ni kwamba anafahamu vizuri ugumu wa vita hii na alishajitoa sadaka...kaziyako wewe ni kumuombea tu
Kuna ufisadi uliopitiliza kama ule wa Nigeria? Lakini mbona Buhari anapambana nao kwa mafanikio makubwa sana na fedha zilizo nje zinarudi bila misuguano na mihimiliingine kama hapa?
Buhari hachezi one man show, bali kila siku anaongeza nguvu kwa taasisi zinazohusika na vita hiyo na hajengi misuguano na wengine kwa makusudi
 
Na bado akisikia jina UDOM anapata stress akimkumbuka bintiye.Hahaha!

Kwanza ile siku ya kwanza tulipombatiza Baba J tu ,JF ilishambuliwa na Kwenda offline

Bado ule mpango wa kuleta machapisho yake yeye mwenyewe (achana Div IV ya bintiye) ya PhD uko palepale .Tutayachambua kama karanga kuthibitisha zaidi kuwa watoto wa kike Genes za IQ huchukua wapi kama walivyosema wanasayansi
Ukizungumzia suala la elimu uwe na aibu upande wenu
 
Ukizungumzia suala la elimu uwe na aibu upande wenu
Ha ha ha, tulia mkuu watu wanamzungumzia mtu mmoja at a time. Ngoja tumalize hili la huyu ndio tutakuja na wengine
 
Watanzania kama bendera...hawana misimamo binafsi bali uelekeo wa upepo

Magufuli ana matamanio makubwa kwa nchi hii lakini njia azitumiazo mara nyingi si sahihi na anapoharibu zaidi ni kujiweka "One man army"

Hata akishindwa ila uthubutu wake katika yale yaliyowashinda wanasiasa wenzie, bado ni funzo tosha kwetu na kwa watakaomfuatia
 
Na hivi sio mwanasiasa wala sio mwanadiplomasia an kazi sana na kubwa mno! Nchi imegoma,kodi zinashuka kila akigusa anaharibu, wafanyabiashara wame slow down,wengine hawapitishi Dar mizigo yao, mapato yanapungua kila uchwao! Kazi anayo! Ameambiwa atumie busara! Busara ni pamoja na kujipanga upya awaite wafan biashara aongee nao anataka nini? Ili wao waende nae sawa mizigo ipite Dar port!
vita ndio imeanza na wanyonyaji. ushindi ni wazi. baada ya kujeruhiwa round ya kwanza ya mapambano mmekuja na mbinu ya propaganda ya uongo kwa kuwakodi wanasiasa wapinga maendeleo kama zzk eti wanapigania demokrasia. wakati wa jk walidai ni dhaifu huku akiwatizana na ufisadi ukikomaa nchini. jpm ameamua kupiga vita ufisadi kwa vitendo. kina zzk na wapinzani eti wanahamaki kwa niaba ya mafisadi.
 
Ha ha ha, tulia mkuu watu wanamzungumzia mtu mmoja at a time. Ngoja tumalize hili la huyu ndio tutakuja na wengine
Huwezi kukwepa kwa tuliopita shule tunajua namna ya kuipata PhD hiyo siyo sandakalawe , na ina principle zake ,etii kuchambua maandiko my foot , maandiko yatachambuliwa kwa misingi ipi kwa format ya kuandika thesis au kwa nini ? Hivi vitu siyo vya kisiasa Ni vya kitaalam mwisho wa siku mtalaumu jopo na chuo kilichompa PhD na hapo ndipo utata utakapoanza na mshindi atabaki yeye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom