Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenye mteremko na gari unaona spidi yake ilivyo hatari yaani tumeweka roho mikononiView attachment 366750tunaelekea huku
Strai8 answer....View attachment 366750tunaelekea huku
Kuna haja ya kufatilia historia yetu upya huwenda sisi sio binadamu wa kawaidaMimi nilitarajia Magufuli alivyosema sisi ni tajiri basi atatoa utajiri wetu kwenye rasilimali zetu kumbe anatoa kwetu kwa kuongeza mikodi kibao
Ndio maana nikasema tuna haja ya kuchunguza na kujua asili yetu vzr huwenda sisi sio watu wa dunia hiiMkuu Tanzania ni mimi na wewe,je wewe kama Mtanzania umeshiriki kiasi gani kuijenga kiuchumi Tanzania?au umechangia kwa kiasi kuubomoa uchumi wa Tanzania?kama tatizo ni viongozi mbona kila uchaguzi tunawachagua walewale?wanaoua tembo ni watanzania,na ni Watanzania hao hao ndio madalali wa migodi ya madini ukichunguza kampuni zote za madini kuna watz wana mikono yao humo,Kwa hiyo tatizo sio Tanzania tatizo ni hao waliomo ndani ya Tanzania yaani mimi na wewe. Ukiifikiria sana hii nchi utaishia mirembe.
Sasa bila kodi nnchi itasonga.... Mfano huko ulaya kuna kodi kiasi gani kila kitu kode kila sehem toll.... Jenga nchi yako pamoja na rais wakoMimi nilitarajia Magufuli alivyosema sisi ni tajiri basi atatoa utajiri wetu kwenye rasilimali zetu kumbe anatoa kwetu kwa kuongeza mikodi kibao
kodi zinakwenda kutumika kwenye mkutano wa CCM halafu tujenge nchi haya ni ya kweliSasa bila kodi nnchi itasonga.... Mfano huko ulaya kuna kodi kiasi gani kila kitu kode kila sehem toll.... Jenga nchi yako pamoja na rais wako
kimario, shimboni!Mpaka sasa mitaa inalia kwa sababu ya maisha magumu
Wale wa vijijini wanaokolewa na watu wa mjini
Elimu bure lakini bado kuna michango ya misosi huko shuleni
Madaftari kalamu pen penseli na vifaa vyote vya shule bado wazazi wananunua
Kama kuna watu walitaka mfumo wa vyama vingi enzi za nyerere na wote walikua wa chama kimoja basi ni vigumu sana kuzuia upinzani usikue tanzania eti kisa magufuli kapewa uenyekiti ccm!!
Mtu kama nyerere ambae hakua na doa kiutawala na bado watu walitaka kuwe na vyama vingi sembuse magufuli ambae ana kasha ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa
Kuisababishia hasara nchi kwa kukamata kwa kukurupuka meli ya samaki na sasa tunatakiwa kulipa
r upinzani tanzania utazidi kukua mpaka kuchukua dola kwa kua tuna viongozi wasiozingatia katiba ya nchi wasiojali ugumu wa maisha wanayopitia watu wa vijijini
Hivi kweli ni upinzani gani unakufa namna hii??
Mbona umeshakufa kitambo ndugu yangu ??Tunaopiga kura ni sisi wananchi na ndiyo tunaoamua tupigie chama kipi, kuua upinzani ni ndoto