Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
1468685259279.jpg
tunaelekea huku
 
Mimi nilitarajia Magufuli alivyosema sisi ni tajiri basi atatoa utajiri wetu kwenye rasilimali zetu kumbe anatoa kwetu kwa kuongeza mikodi kibao
Kuna haja ya kufatilia historia yetu upya huwenda sisi sio binadamu wa kawaida
 
Mkuu Tanzania ni mimi na wewe,je wewe kama Mtanzania umeshiriki kiasi gani kuijenga kiuchumi Tanzania?au umechangia kwa kiasi kuubomoa uchumi wa Tanzania?kama tatizo ni viongozi mbona kila uchaguzi tunawachagua walewale?wanaoua tembo ni watanzania,na ni Watanzania hao hao ndio madalali wa migodi ya madini ukichunguza kampuni zote za madini kuna watz wana mikono yao humo,Kwa hiyo tatizo sio Tanzania tatizo ni hao waliomo ndani ya Tanzania yaani mimi na wewe. Ukiifikiria sana hii nchi utaishia mirembe.
 
Ndio maana nikasema tuna haja ya kuchunguza na kujua asili yetu vzr huwenda sisi sio watu wa dunia hii
 
Mimi nilitarajia Magufuli alivyosema sisi ni tajiri basi atatoa utajiri wetu kwenye rasilimali zetu kumbe anatoa kwetu kwa kuongeza mikodi kibao
Sasa bila kodi nnchi itasonga.... Mfano huko ulaya kuna kodi kiasi gani kila kitu kode kila sehem toll.... Jenga nchi yako pamoja na rais wako
 
kodi zinakwenda kutumika kwenye mkutano wa CCM halafu tujenge nchi haya ni ya kweli
 
Naiona Zimbabwe ndani ya Tanzania mpya ya viwanda.
Kwa jinsi uchumi unavyochezewa kama kichwa cha mwenda wazimu, lolote laweza kutokea. Cjui wenzangu mnaionaje hii hali?
 
Mpaka sasa mitaa inalia kwa sababu ya maisha magumu
Wale wa vijijini wanaokolewa na watu wa mjini
Elimu bure lakini bado kuna michango ya misosi huko shuleni
Madaftari kalamu pen penseli na vifaa vyote vya shule bado wazazi wananunua
Kama kuna watu walitaka mfumo wa vyama vingi enzi za nyerere na wote walikua wa chama kimoja basi ni vigumu sana kuzuia upinzani usikue tanzania eti kisa magufuli kapewa uenyekiti ccm!!
Mtu kama nyerere ambae hakua na doa kiutawala na bado watu walitaka kuwe na vyama vingi sembuse magufuli ambae ana kasha ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa
Kuisababishia hasara nchi kwa kukamata kwa kukurupuka meli ya samaki na sasa tunatakiwa kulipa
r upinzani tanzania utazidi kukua mpaka kuchukua dola kwa kua tuna viongozi wasiozingatia katiba ya nchi wasiojali ugumu wa maisha wanayopitia watu wa vijijini
Hivi kweli ni upinzani gani unakufa namna hii??
 
Kule Lumumba kuna sera moja tu kwa sasa nayo ni KUSIFU NA KUABUDU.

Kama karibu nusu ya wapiga kura wamekukataa halafu mtu huoni kama ni tatizo badala yake usifiwe tu. Upinzani ni kwa afya ya nchi yetu na kama tumeamua kufuata democracy ya vyama vingi basi tufuate utaratibu wake na kufanya kiini macho.
 
Ni kweli kaka. Kama ilivyokuwa upuuzi kuamini kwamba UKAWA watashinda Uchaguzi wa Rais!!
 
Ni mjinga na kihiyi pekee anayeamini Upinzani utachukua nchi mwaka 2020
 
Mpaka sasa mitaa inalia kwa sababu ya maisha magumu
Wale wa vijijini wanaokolewa na watu wa mjini
Elimu bure lakini bado kuna michango ya misosi huko shuleni
Madaftari kalamu pen penseli na vifaa vyote vya shule bado wazazi wananunua
Kama kuna watu walitaka mfumo wa vyama vingi enzi za nyerere na wote walikua wa chama kimoja basi ni vigumu sana kuzuia upinzani usikue tanzania eti kisa magufuli kapewa uenyekiti ccm!!
Mtu kama nyerere ambae hakua na doa kiutawala na bado watu walitaka kuwe na vyama vingi sembuse magufuli ambae ana kasha ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa
Kuisababishia hasara nchi kwa kukamata kwa kukurupuka meli ya samaki na sasa tunatakiwa kulipa
r upinzani tanzania utazidi kukua mpaka kuchukua dola kwa kua tuna viongozi wasiozingatia katiba ya nchi wasiojali ugumu wa maisha wanayopitia watu wa vijijini
Hivi kweli ni upinzani gani unakufa namna hii??
kimario, shimboni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom