Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Push up zinatesa wanyonge.tulichagua push up badala ya kuchagua busara na hekima.
 
Lazima wote tuisome kwani vepe
Kwa sasa tunasoma no. from
Positive to negative mpaka kieleweke
Mi huwa napenda sana kusoma no.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Juzi nilikua naimba ule wimbo ahhaahhaha naupenda sana aiseee, unaitwa "Wacha waisome namba eeeghhh, CCM mbele kwa mbele". Nashangaa kuna Mwana ccm akanisonya, sijaelewa kosa langu
 
HAWA HAPO CHINI NDIO NAO WANAISOMA HIZO NAMBA.
IMG_20160722_072900.jpg


swissme
 
Nyie ndio mnaotaka kujenga ghorofa kwa barafu. Huyu jamaa anaitengeneza nchi.
 
Ni lazima abomoe kwanza ili ajenge vizuri. Nyufa zilikuwa kubwa mno. Linchi lilikuwa linajiendea endea tu. Mavyeti feki kibao! wafanyakazi hewa kibao! wanafunzi hewa kibao! ufisadi kibao kiasi kwamba kulikuwa hakuna hata haja ya mtu kustrugle, maana kufanikiwa kwa mtu kulitokana na madili na kufahamiana tu. Si elimu wala strugle ya mtu. Nchi ilikuwa imeharibika sana na ilikuwa ikikatisha tamaa watu ambao kweli wanastrugle kufanikiwa. Mtapiga mayowe sana lakini MAGUFULI anainyoosha nchi na kurudisha utaratibu. Sasa tutaheshimiana tu. Asante Baba Magufuli Mungu azidi kukutia nguvu uirejeshe heshima ya kufanya kazi kwa bidii na watu kufanikiwa kwa bidii ya kweli na si kwa madili.
hii ni hoja dhaifu sn. na inapendwa na watetezi wanaopingana na uhalisia.
 
Hata kama utendaji wake ni wa kutukuka....ila kwa mpito huu tunaisoma number kuliko, hakuna chanjo, ajira hakuna, dawa hakuna, pesa hakuna, biashara imekuwa ngumu, bank awatoi mikopo, watalii wamekauka....kwakweli binafsi nmeisoma ipasavyo.
We kumbe una akili
 
Unafikiri.mlikuwa Mnadeki mkiwa wazima?
Mliingizwa kingi ndio maana tuliwapinga kwa nguvu zote.
Yako wapi mazingaombwe ya kupanda daladala kwenda chanika?
Yu wapi mwokozi aliyeenda Tandale?

Hahahahahaha ogopa sanaa
ziko wapi pushups?!!,yuko wapi mwokozi wa wakulima maana mazao yao mpk leo yanatozwa kodi,zikowapi dawa hospitalin,iko wapi mikopo ya wanafunz
 
sasa kunyosha nchi kusababishe wanafunzi wakose mikopo?

Kwa jinsi nchi ilivyokuwa imeharibiwa unapojaribu kurekebisha collateral damages haziepukiki. Lakini dhamira na lengo ni safi. Hakuna namna tutaumia lakini TUTAPONA mbele ya safari. Uhuni tuliokuwa tukiishi nao UMETOSHA. Asante Mungu kwa kutupa MAGUFULI.
 
Sasa kwani hiyo serikali iliyopita si ilikuwa ya ccm ¿ Kama madudu ya vyeti feki, madili, rushwa, kujuwana hivyo ndivyo ccm inavyo someka Tokea uhuru hadi leo ni kubadili misamiati tuu, ccm ni ileile na Sera yao ni ubaya ubaya tuu na shida kuongezeka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom