Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ni mwaka mmoja sasa umetimia tangu rais Magufuli aingie Ikulu, katika kipindi hiki yapo mazuri kadhaa amefanya na vijana wanaunga mkono lakini kila kukicha vijana wamepoteza imani na rais Magufuli kwani tangu aingie madarakani hali kwa vijana imezidi kuwa mbaya kwani ndani ya mwaka huu mmoja wa kukaa kwake Ikulu amesimamisha ajira mpya jambo linalo wagusa vijana wengi, na mpaka sasa vijana wengi hawajui kesho yake ikoje.
 
Huwezi ajiri watu wapya wakati waliopo wamechanganyika watu halisi na watu hewa ni lazima usafishe kwanza uchafu uliopo ndiyo uingize nguvu mpya kazini ,hili la kuahirishwa ni swala la mda tu haitakiwi kukata tamaa na kuanza kumlaumu /kupoteza imani na Rais.
 
Ni mwaka mmoja sasa umetimia tangu rais Magufuli aingie Ikulu, katika kipindi hiki yapo mazuri kadhaa amefanya na vijana wanaunga mkono lakini kila kukicha vijana wamepoteza imani na rais Magufuli kwani tangu aingie madarakani hali kwa vijana imezidi kuwa mbaya kwani ndani ya mwaka huu mmoja wa kukaa kwake Ikulu amesimamisha ajira mpya jambo linalo wagusa vijana wengi, na mpaka sasa vijana wengi hawajui kesho yake ikoje.
Nakupinga vibaya sana ! Hakuna mwaka ambao vijana wa Tanzania waliwahi kuwa na imani na mtu huyu, fanya utafiti , kuanzia enzi za kupiga mbizi kwenda kigamboni hadi wakati wa kupiga push up .
 
kurupuka style hiyoooooooooooo...
 
Ni mwaka mmoja sasa umetimia tangu rais Magufuli aingie Ikulu, katika kipindi hiki yapo mazuri kadhaa amefanya na vijana wanaunga mkono lakini kila kukicha vijana wamepoteza imani na rais Magufuli kwani tangu aingie madarakani hali kwa vijana imezidi kuwa mbaya kwani ndani ya mwaka huu mmoja wa kukaa kwake Ikulu amesimamisha ajira mpya jambo linalo wagusa vijana wengi, na mpaka sasa vijana wengi hawajui kesho yake ikoje.
Usipende kufikiri kama ubongo wako sio wa kijana, unaongelea vijana wapi hao? Usichanganye bavicha na vijana!
 
Achen kupiga kelele mitandaon jalibun kujiajili hakika mtafanikiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom