Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Anatupeleka hukohuko that is kama tunamfata ,ila km VP tugawane njia tu make me najua kule naenda
 
Duh unajua mm nilimwambie mke wangu mbona km tunapiga reverse akasema mzee anajua ila cdhani kama anajua....
 
Shetani Wa Jana hawezi kuwa malaika leo .

Kama ambavyo unafiki usivyoweza kudumu na kuendelea kuwa unafiki Kwa muda mrefu.

Tabia ya mtu ni ya mtu wala huwezi ibadili hasa anapokuwa anapanda ngazi kwa kubebwa kuliko kujipandisha kwa juhudi zake binafsi .

Kujibeba kwa mdomo kuliko matendo yako wala matokeo ya unachokipigania.

1: Tujikumbushe suala la nyavu za wavuvi wa Ziwa Victoria hasa Mwanza na kanda zake jinsi zilivyochomwa kwa kisingingizio cha uvuvi haramu na kusababisha hasara Kwa watu . Kipindi hicho ndio watu walianza kula mapanki mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri wa uvuvi.

2: Meli ya uvuvi ya wachina iliyokamatwa kwenye bandari ya Hindi na kuongea maneno mengi lakini mwisho wa siku jamaa wakashinda kesi na kusababisha hasara kubwa kwa serikali ya kuwalipa fidia mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri wa Uvuvi.

3 : Kuwaambia watu Wa kigamboni wapige mbizi kama hawataki nauli ipande tununue kivuko kingine lakini kilichofuata ni kununua kivuko kibovu kwa mabilioni ya pesa za umma mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri Wa ujenzi .

4: Wakandarasi kwenye wizara ya ujenzi walifikia kuidai serikali pesa karibia 1.5 trilions. Lakini kibaya zaidi walikuwa wanadai kati ya hizo billion 600 kama riba kwa kucheleweshwa kulipwa na zaidi ufisadi wa zaidi ya 2 bilion 250 kwa mujibu wa CAG 2015-2016 mkuu wetu wa kaya alikuwa waziri wa ujenzi.

6: Uvunjaji wa shell kule Mwanza na kushindwa kesi na kulipa fidia akiwa waziri wa ujenzi.

Mkumbuke pia alienda mbali zaidi na kutaka kuvunja jengo la Tanesco kwa ajiri ya kupitisha barabara..

Kama akiwa tu waziri nchi kaitia hasara kiasi hiki je akiwa na meno kama rais Maamuzi ya kukurupuka na kuitia nchi hasara itakuwaje ndani ya hii miaka 5?

Huyu watu ndiye wanamuita mkombozi wao Kwa CV hii aliyonayo?

Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hivi nikiwa tu naanza darasa la kwanza " Ukitaka kufaulu vizuri mtihani wako wa darasa la 7,kidato cha 4 na 6 anza kujiandaa sasa" .

Nilikuja kuligundua ilo baadae kwamba ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote ni kufanya "Positive Investment" kwenye jambo hilo.

Uliyoyafanya jana ndio matokeo ya leo na mwanga au Giza ya kesho.
 
Go Magufuli go go go! watu walizoea vya bule na vya kufoji ndo mana wanalalamika,mtu anaetaka kutumia ukweli kupita njia za mafanikio watu humchukia japo huona matunda yake baadae
 
Matunda yapi hayo na wewe tunayaona au matunda yaliooza, we nchi ipo katika critical condiion unasema tunaona matunda we serikali sasa ivi taasisi zake zunakosa pesa za kujiendesha unasema matunda, elimu kwa watoto imekuwa mwiba unasema matunda yanaonekana, wafanyabiashara wanafunga na kufulisika unasena matunda, umaskini unazidi kwa kasi unasema matunda.
 
Matunda yepi hayo ya kufyatua watoto?
 
Nilishaondoa tumaini kwa hawa watu miongo miwili ilopita.
 
Go Magufuli go go go! watu walizoea vya bule na vya kufoji ndo mana wanalalamika,mtu anaetaka kutumia ukweli kupita njia za mafanikio watu humchukia japo huona matunda yake baadae
hafanyi lolote huyu baba mnamsifia bure tu ..........
 
Cha ajabu mliyajua hayo yote lakini mkamchagua hivyo hivyo leo mnajifanya mnalalamikia.

Kheri yangu sikumpa kura!
 
umesahau kuwatumbua watoto wa vigogo bot, kuwatumbua vigogo tpa na kuongeza mapato ya bandari maradufu. kugundua makontena mamia yaliyojwepa kodi na kuwadai wenyewe. kuwatumbua vigogo wa tra na kigogo wa zamani na wenzake wananyea ndoo rumande. kuwatumbua wakurugenzi wa wilaya kwa kugeuza halmashauri kampuni zao binafsi. kusimamisha ajira hewa 17000. kudhibiti vyeti feki mamia wametoroka kazi kwa hofu kukamatwa. kununua ndege mpya kwa ajili ya atcl, kuanza ujenzi wa reli ya kisasa december 2016. bomba la mafuta ya uganda kupitia tanzania, elimu bure, kukomesha hujuma za mabenki na vigogo kwa kuamua fedha ya serikali iwekwe bot etc etc. kwa ufupi amepiga vita ufisadi ameongeza uwajibikaji serikalini kwa kuwawajibisha wezi fisadi na wazembe pia kuongeza weledi kws kutimua vyeti feki.
 
Serikali haijaleta tetemeko hivyo kila mtu aamke na aanze kujisaidia mwenyewe...Kweli mjasiri haachi asili.
 
Go Magufuli go go go! watu walizoea vya bule na vya kufoji ndo mana wanalalamika,mtu anaetaka kutumia ukweli kupita njia za mafanikio watu humchukia japo huona matunda yake baadae

Naona hata kuandika hujui!

=bure na sio bule
=maana na sio mana
=ndio na sio ndo

Umesikia wewe mtoto? Kajifunze kusoma na kuandika ndio urudi hapa sawa?
 
Wengine tunasubili miaka iliyobak tutoe tadhimini ya......
 
Cha ajabu mliyajua hayo yote lakini mkamchagua hivyo hivyo leo mnajifanya mnalalamikia.

Kheri yangu sikumpa kura!
hatukumchagua lubuva ndo alimtangaza
IMG-20151027-WA0052.jpg
IMG-20151027-WA0047.jpg
goli la mikono hilo ndo mana wanayumbayumba
IMG-20151027-WA0047.jpg
 
Matunda yapi hayo na wewe tunayaona au matunda yaliooza, we nchi ipo katika critical condiion unasema tunaona matunda we serikali sasa ivi taasisi zake zunakosa pesa za kujiendesha unasema matunda, elimu kwa watoto imekuwa mwiba unasema matunda yanaonekana, wafanyabiashara wanafunga na kufulisika unasena matunda, umaskini unazidi kwa kasi unasema matunda.
Kazi kweli kweli, atusaidie kuona hayo matunda maana mi kwakweli sijataona hadi sasa hv zaidi ya kunisababishia ukame kwenye mfuko wangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom