Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haWakati wa kampeni tuliwasihi sana, mimi binafsi nilitafuta kila namna ya kuwashauri watumishi wa umma muachane na mkoloni mweusi hamkutaka. Wacha muisome labda akili itawaingia. Mie nshazoea kuuza genge langu najua walalahoi wawashindwi kununua mchicha ntauza tu.
Subirini, mambo matamu yanakujaMkuu ana chuki na watumishi sana, anatamani awafukuze wote au hata kuwapunguza. Sijui walichomfanya, uhamisho kikatili, kazi hakuna motisha, mishahara midogo watu wamesusa ule moyo wa kujitolea kwa dhati umepungua. Watumishi wengi wanaamini jamaa anawabagua, anajali wanajeshi na polisi hata promotion zipo jeshini tu huku kwa walimu na wengine hakuna. Kipindi cha kampeni aliongea kwa unyenyekevu sana ila sasa kawageuka.
Mkuu ana chuki na watumishi sana, anatamani awafukuze wote au hata kuwapunguza. Sijui walichomfanya, uhamisho kikatili, kazi hakuna motisha, mishahara midogo watu wamesusa ule moyo wa kujitolea kwa dhati umepungua. Watumishi wengi wanaamini jamaa anawabagua, anajali wanajeshi na polisi hata promotion zipo jeshini tu huku kwa walimu na wengine hakuna. Kipindi cha kampeni aliongea kwa unyenyekevu sana ila sasa kawageuka.
Tulieni. Viwanda vinakuja mtatesaMkuu ana chuki na watumishi sana, anatamani awafukuze wote au hata kuwapunguza. Sijui walichomfanya, uhamisho kikatili, kazi hakuna motisha, mishahara midogo watu wamesusa ule moyo wa kujitolea kwa dhati umepungua. Watumishi wengi wanaamini jamaa anawabagua, anajali wanajeshi na polisi hata promotion zipo jeshini tu huku kwa walimu na wengine hakuna. Kipindi cha kampeni aliongea kwa unyenyekevu sana ila sasa kawageuka.
Mtamkumbuka JKSisi watumishi wa tz,tunajua fika kuwa asilimia kubwa hatukukupigia kura ya kukufanya rais,hali ambayo imekufanya utuadhibu vibaya mno,tumeishi kama mashetani,inatosha uwiiii twafaaa
Kwanini mkuu?Huyu jamaa namchukia kuliko kitu chochote
Hivi madai yenu mmelipwa? Mkianza kudai ataanza tena uhakiki wa madai kwa mara ya kumi na moja. Tutanyooka mwaka huu
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwani ndio umemaliza kuandika huu uzi....[emoji45] [emoji45] [emoji45]