Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hapa mpaka ajitokeze msanii atoe nyimbo ya kuomba msamaha kama ile nyimbo ya "Im sory J.K " sijui ya msanii gani vilee, hivi hivi kama tunampigia mbuzi gitaa
 
Mkuu ana chuki na watumishi sana, anatamani awafukuze wote au hata kuwapunguza. Sijui walichomfanya, uhamisho kikatili, kazi hakuna motisha, mishahara midogo watu wamesusa ule moyo wa kujitolea kwa dhati umepungua. Watumishi wengi wanaamini jamaa anawabagua, anajali wanajeshi na polisi hata promotion zipo jeshini tu huku kwa walimu na wengine hakuna. Kipindi cha kampeni aliongea kwa unyenyekevu sana ila sasa kawageuka.
Mkuu yupo sahihi anaamini kwenye majeshi basi.
 
Na Mnapelekwa Dodoma kwa Makarandinga ya Jeshi Hakuna cha Moving wala disturbance allowances Mamamaee!

Mkishamwagwa pale Udom kila Mtu atajijua mnatawanyika Kama Wadudu kutafuta Malazi [emoji12][emoji12]

Nakumbuka sana style hii aliifanya Julius Nyerere 1972 kwenye Operation Vijiji vya Ujamaa mpaka Wazee wetu wengine wakaliwa na Simba kwa kutelekezwa Kinguvu Porini kuanzisha Vijiji vya Ujamaa!

Long life Comrade JPM!
Safi sana JPM anawanyoosha na kiingereza chao, Mkuu sisi shida ni sehemu ya maisha yetu.
 
Na Mnapelekwa Dodoma kwa Makarandinga ya Jeshi Hakuna cha Moving wala disturbance allowances Mamamaee!

Mkishamwagwa pale Udom kila Mtu atajijua mnatawanyika Kama Wadudu kutafuta Malazi [emoji12][emoji12]

Nakumbuka sana style hii aliifanya Julius Nyerere 1972 kwenye Operation Vijiji vya Ujamaa mpaka Wazee wetu wengine wakaliwa na Simba kwa kutelekezwa Kinguvu Porini kuanzisha Vijiji vya Ujamaa!

Long life Comrade JPM!
Hawa ndiyo huwa wanapindua matokeo, JPM ngoja awanyooshe mpaka wapate akili.
 
wakuu kwa jinsi mambo yanavoenda katika nchi yetu tunaeleka wapi?au ni laana toka kwa mwenyezi mungu kwa tuliyoyafanya 2015.
Mungu inusuru Tanzania,Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake waliopo chini ya utawala huu wa ....
 
Ni aibu sana kujitambulisha kama mtanzania.....aibu sana,aibu kubwa,

Nchi ina mifumo vizuri kabisa....halafu inaachwa mifumo,watu wanajifanya wao ndio mifumo
 
hadi kufika 2020 tutashuhudia mengi ambayo hayajawahi tokea toka dunia ianzishwe
 
Ni aibu sana kujitambulisha kama mtanzania.....aibu sana,aibu kubwa,

Nchi ina mifumo vizuri kabisa....halafu inaachwa mifumo,watu wanajifanya wao ndio mifumo
Wakati wa kampeni 2015 tuliambiwa tatizo la nchi yetu ni mfumo. Leo mnasema nchi ina mifumo mizuri. Tuelewe lipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom