Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,054
Hapa mpaka ajitokeze msanii atoe nyimbo ya kuomba msamaha kama ile nyimbo ya "Im sory J.K " sijui ya msanii gani vilee, hivi hivi kama tunampigia mbuzi gitaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yupo sahihi anaamini kwenye majeshi basi.Mkuu ana chuki na watumishi sana, anatamani awafukuze wote au hata kuwapunguza. Sijui walichomfanya, uhamisho kikatili, kazi hakuna motisha, mishahara midogo watu wamesusa ule moyo wa kujitolea kwa dhati umepungua. Watumishi wengi wanaamini jamaa anawabagua, anajali wanajeshi na polisi hata promotion zipo jeshini tu huku kwa walimu na wengine hakuna. Kipindi cha kampeni aliongea kwa unyenyekevu sana ila sasa kawageuka.
Safi sana JPM anawanyoosha na kiingereza chao, Mkuu sisi shida ni sehemu ya maisha yetu.Na Mnapelekwa Dodoma kwa Makarandinga ya Jeshi Hakuna cha Moving wala disturbance allowances Mamamaee!
Mkishamwagwa pale Udom kila Mtu atajijua mnatawanyika Kama Wadudu kutafuta Malazi [emoji12][emoji12]
Nakumbuka sana style hii aliifanya Julius Nyerere 1972 kwenye Operation Vijiji vya Ujamaa mpaka Wazee wetu wengine wakaliwa na Simba kwa kutelekezwa Kinguvu Porini kuanzisha Vijiji vya Ujamaa!
Long life Comrade JPM!
Hawa ndiyo huwa wanapindua matokeo, JPM ngoja awanyooshe mpaka wapate akili.Na Mnapelekwa Dodoma kwa Makarandinga ya Jeshi Hakuna cha Moving wala disturbance allowances Mamamaee!
Mkishamwagwa pale Udom kila Mtu atajijua mnatawanyika Kama Wadudu kutafuta Malazi [emoji12][emoji12]
Nakumbuka sana style hii aliifanya Julius Nyerere 1972 kwenye Operation Vijiji vya Ujamaa mpaka Wazee wetu wengine wakaliwa na Simba kwa kutelekezwa Kinguvu Porini kuanzisha Vijiji vya Ujamaa!
Long life Comrade JPM!
Safi sana JPM anawanyoosha na kiingereza chao, Mkuu sisi shida ni sehemu ya maisha yetu.
Lakini utaishia popotekama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
Jua letu, mvua yetu kama kazi.Kweli kabisa Maskini haogopi kufililisika!
pole sana mkuu..hujapts bdo ajira?Alitubania wahitimu wa wa vyuo 2015
Yan namchukulia ni zaidi ya shetani
kuna nini2005
Wakati wa kampeni 2015 tuliambiwa tatizo la nchi yetu ni mfumo. Leo mnasema nchi ina mifumo mizuri. Tuelewe lipi?Ni aibu sana kujitambulisha kama mtanzania.....aibu sana,aibu kubwa,
Nchi ina mifumo vizuri kabisa....halafu inaachwa mifumo,watu wanajifanya wao ndio mifumo