Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nchi ya viwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio upuuzi wa kichaa,muda wote rungu analizungusha hewani hata haujui litatua kwa nani na saa ngapi !!!? Sasa ni mwendo wa kujihami tuNi bora kujitia uchizi..ili kulinda ajira mana..kichaa kapewa rungu..usijaribu kupita mbele yake..[emoji445] [emoji445] [emoji445]
well inawezekana hatumuelewi lakin ajuwa kule anatupeleka maana anaijuwa njia vizuri hivyo kuingia kwake vichochoron ambako mimi na wewe hatujuwi njia isiwe ndio sababu yakusema hajuwi kule anatupeleka. Tumpe muda na kwa kuwa uchochoro anapita sisi hatuujuwi ila bila shaka tutafika na tusipo fika tutakuwa na nguvu kumwambia umetupoteza achia uskaniMwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Hata kama ss njia hatuijui, lakini kwa mwenye akili timamu unaweza tu ukapata idea kutokana na mandhari ya njiani, hapa dalili zinakatisha tamaa. Halafu mwengine kweli anapokupeleka panaweza kuwa pazuri na zipo njia nzuri zakufika huko lakini anaamua tu kukupitisha kwenye njia za ajabu ajabu ili uteseke tu. Unapo lia lia na kupiga kelele yeye ndio anasikia raha eti ili mwisho akupe surprise, ss ndio nn? Hata tukifika, kwa njia hizi na majeraha tutakayo yapata, mara nyengine akitangaza safari tunaweza goma kwenda.well inawezekana hatumuelewi lakin ajuwa kule anatupeleka maana anaijuwa njia vizuri hivyo kuingia kwake vichochoron ambako mimi na wewe hatujuwi njia isiwe ndio sababu yakusema hajuwi kule anatupeleka. Tumpe muda na kwa kuwa uchochoro anapita sisi hatuujuwi ila bila shaka tutafika na tusipo fika tutakuwa na nguvu kumwambia umetupoteza achia uskani
no watanzania ndio mataahira kwa kuaminishwa vitu visivyoingia akilini,nchi haina maji haina umeme,hakuna elimu kwa ufupi wananchi wanapigania basic needs kila siku kisha anasimama mtu anaongea uchumi wa viwanda,nchi zenye uchumi wa viwanda basic needs wamesolve miaka 100 iliyopitaKi ujumla viongozi wetu ni wapumbavu.
Hahahahahahaa. Katuvurug aisee. Nakumbuka ile katuni ya gado kavuruga kila kitu...Mkuu ukipata jibu nishtue..mimi pia niko curious kujua anakotupeleka!