cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
NINA UHAKIKA ALIYE KUROGA KAFA.UNATUAMBIA MAKONDA HOVYO BAMALA YA BASHITE HOYEEE!
Sijakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NINA UHAKIKA ALIYE KUROGA KAFA.UNATUAMBIA MAKONDA HOVYO BAMALA YA BASHITE HOYEEE!
Alishasema kazi ya kuendesha ngumu na ameshachoka,unadhan destination tutafika kwa wakat?well inawezekana hatumuelewi lakin ajuwa kule anatupeleka maana anaijuwa njia vizuri hivyo kuingia kwake vichochoron ambako mimi na wewe hatujuwi njia isiwe ndio sababu yakusema hajuwi kule anatupeleka. Tumpe muda na kwa kuwa uchochoro anapita sisi hatuujuwi ila bila shaka tutafika na tusipo fika tutakuwa na nguvu kumwambia umetupoteza achia uskani.
Wewe huenda ni yule mdada aliyetanjwatajwa sana ambaye Bash...e ametajwa kumlinda kwenye biashara hiyo haramu!Ha ha haaaaa
Nashukuru kwa kuninoti kuwa mimi nimeshikilia msimamo wa kutetea hao wasio na tatizo lolote.
Uhuru na uamuzi ni wangu ndugu, na mimi naadika yanayojiri sifati mkumbo wa wanaovutwa na wachache.
Makonda oyeeeeeee
N.b. mimi sina chama
Sio taili 'taiRI'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukikamata gari kwenye barabara ya Mwendo kas fungua taili
Sio ukweli ni UKWERI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlinichagua niwaambie ukweli na ukweli ndiyo huu
Trafiki PORISI wakidai HERA wapeni kwa AJIRI ya KUBRASHIA viatutrafiki polisi wakidai hela wapeni kwa ajili ya kuburashia viatu.....
mweee!
Wewe huenda ni yule mdada aliyetanjwatajwa sana ambaye Bash...e ametajwa kumlinda kwenye biashara hiyo haramu!
Fanya kazi, jitume utajua mwelekeoMwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!