Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti nawashukuru kwa kunichagua mimi ambaye nilikuwa sistahili, hata yeye amekiri hadharani kuwa hakuwa na sifa za kustahili kuwa raisiKwa maneno yake ya hapo chini hadi Leo bado anatafuta kura ili ashinde. Inavyo onavyo onekana mpaka sasa hajiamini kama yeye ni Rais wa wote... Maana wale waliochagua upinzani anaona kama wasaliti na anaahidi kuto wasaidia.
Haya maneno kama kweli ametayasema basi inawezekana toka 2015 bado hatuja pata Rais nchi hii.
*"HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA*
Kama nukuu hii hapa chini ni sahihi, basi umuhimu wa upinzani na mawazo mbadala kwa Rais wa nchi hii hauonekani au hautakiwi kabisa.
Kwa namna hii tutoe ushauri tena kwamba *SERIKALI HII IPELEKE MUSWADA WA SHERIA BUNGENI KUFUTA MFUMO WA VYAMA VINGI HAPA NCHINI NA SHERIA YAKE NO. 5 YA MWAKA 1992 - TUSIPOTEZEANE MUDA !!!*
"Nashukuru Kigoma mlichagua sana CCM na wabunge wengi ni wa CCM, mimi ni Rais wa wote bila kujali vyama vyao, wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA( Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" Magufuli leo Kakonko tar 21/07/2017.
Na Makngoro Mahanga
Kwa maneno yake ya hapo chini hadi Leo bado anatafuta kura ili ashinde. Inavyo onavyo onekana mpaka sasa hajiamini kama yeye ni Rais wa wote... Maana wale waliochagua upinzani anaona kama wasaliti na anaahidi kuto wasaidia.
Haya maneno kama kweli ametayasema basi inawezekana toka 2015 bado hatuja pata Rais nchi hii.
*"HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA*
Kama nukuu hii hapa chini ni sahihi, basi umuhimu wa upinzani na mawazo mbadala kwa Rais wa nchi hii hauonekani au hautakiwi kabisa.
Kwa namna hii tutoe ushauri tena kwamba *SERIKALI HII IPELEKE MUSWADA WA SHERIA BUNGENI KUFUTA MFUMO WA VYAMA VINGI HAPA NCHINI NA SHERIA YAKE NO. 5 YA MWAKA 1992 - TUSIPOTEZEANE MUDA !!!*
"Nashukuru Kigoma mlichagua sana CCM na wabunge wengi ni wa CCM, mimi ni Rais wa wote bila kujali vyama vyao, wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA( Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" Magufuli leo Kakonko tar 21/07/2017.
Na Makngoro Mahanga
aangalie asije jifuta mwenyewe na ccm yake.!
!
kufuta hivi vyama ndio wazo la maana hapa
Ha ha ha !Hii siyo Tanzania yetu tunayoijua. Hii siyo Tanzania iliyoachwa na Baba yetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Sasa hivi kila Mtu Ana hofu. Kuanzia Waziri mpaka Mfanyakazi wa nyumbani.
Tulizoea kuishi pamoja kwa Upendo, hatukuwahi kubaguana kwa dini Zetu, Makabila yetu Rangi zetu na hata Vyama vyetu. Yanayotokea Leo, ni Aibu. Kila Mwenye akili timamu anajuta,
Lazima hali hii itoweke haraka. Ni lazima Tumtafute mchawi wetu haraka na Mapema kwa kadri tuwezavyo.
Ni Lazima kwa pamoja tusimame tuiokoe Nchi yetu, Naam, kwa sababu hatuna Nchi nyingine.
Kama maneno ya hapo chini ni yake badi hadi Leo bado anatafuta kura ili ashinde. Inavyo onavyo onekana mpaka sasa hajiamini kama yeye ni Rais wa wote... Maana wale waliochagua upinzani anaona kama wasaliti na anaahidi kuto wasaidia.
Haya maneno kama kweli ametayasema basi inawezekana toka 2015 bado hatuja pata Rais nchi hii.
*"HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA*
Kama nukuu hii hapa chini ni sahihi, basi umuhimu wa upinzani na mawazo mbadala kwa Rais wa nchi hii hauonekani au hautakiwi kabisa.
Kwa namna hii tutoe ushauri tena kwamba *SERIKALI HII IPELEKE MUSWADA WA SHERIA BUNGENI KUFUTA MFUMO WA VYAMA VINGI HAPA NCHINI NA SHERIA YAKE NO. 5 YA MWAKA 1992 - TUSIPOTEZEANE MUDA !!!*
"Nashukuru Kigoma mlichagua sana CCM na wabunge wengi ni wa CCM, mimi ni Rais wa wote bila kujali vyama vyao, wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA( Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" Magufuli leo Kakonko tar 21/07/2017.
Na Makngoro Mahanga
Usiseme viongozi wa dini sema Roman Catholic wamemnyamazia huyu MTU wao kila kukicha anaivuruga nchi kwa ubaguzi.Wameweka pamba kabisa masikioni!ubaguzi huu uanafanywa na kiongozi mkubwa wa nchi lakini viongozi wa dini wanafiki wamejificha ndani ya blanket zito lenye giza.
If you do not know where you are going any road will take you thereBinafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Hayo ni mawazo ya mlevi . Inshort rais anapotea anaeleka kuzama time will speak.If you do not know where you are going any road will take you there
Huja nielewa ''Nimesa usipojua unako kwenda barabara ama njia yoyote itakupeleka huko 'Jibu sahihi usipojua unako kwenda uta potea"Hay
Hayo ni mawazo ya mlevi . Inshort rais anapotea anaeleka kuzama time will speak.
Sorry mkuu you're a great thinker. Nimekuelewa .Huja nielewa ''Nimesa usipojua unako kwenda barabara ama njia yoyote itakupeleka huko 'Jibu sahihi usipojua unako kwenda utaapotea"