Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kama maneno ya hapo chini ni yake badi hadi Leo bado anatafuta kura ili ashinde. Inavyo onavyo onekana mpaka sasa hajiamini kama yeye ni Rais wa wote... Maana wale waliochagua upinzani anaona kama wasaliti na anaahidi kuto wasaidia.

Haya maneno kama kweli ametayasema basi inawezekana toka 2015 bado hatuja pata Rais nchi hii.

*"HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA*

Kama nukuu hii hapa chini ni sahihi, basi umuhimu wa upinzani na mawazo mbadala kwa Rais wa nchi hii hauonekani au hautakiwi kabisa.
Kwa namna hii tutoe ushauri tena kwamba *SERIKALI HII IPELEKE MUSWADA WA SHERIA BUNGENI KUFUTA MFUMO WA VYAMA VINGI HAPA NCHINI NA SHERIA YAKE NO. 5 YA MWAKA 1992 - TUSIPOTEZEANE MUDA !!!*

"Nashukuru Kigoma mlichagua sana CCM na wabunge wengi ni wa CCM, mimi ni Rais wa wote bila kujali vyama vyao, wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA( Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" Magufuli leo Kakonko tar 21/07/2017.
Na Makngoro Mahanga
 
Kwa maneno yake ya hapo chini hadi Leo bado anatafuta kura ili ashinde. Inavyo onavyo onekana mpaka sasa hajiamini kama yeye ni Rais wa wote... Maana wale waliochagua upinzani anaona kama wasaliti na anaahidi kuto wasaidia.

Eti nawashukuru kwa kunichagua mimi ambaye nilikuwa sistahili, hata yeye amekiri hadharani kuwa hakuwa na sifa za kustahili kuwa raisi
 
Kwa maneno yake ya hapo chini hadi Leo bado anatafuta kura ili ashinde. Inavyo onavyo onekana mpaka sasa hajiamini kama yeye ni Rais wa wote... Maana wale waliochagua upinzani anaona kama wasaliti na anaahidi kuto wasaidia.

Haya maneno kama kweli ametayasema basi inawezekana toka 2015 bado hatuja pata Rais nchi hii.

*"HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA*

Kama nukuu hii hapa chini ni sahihi, basi umuhimu wa upinzani na mawazo mbadala kwa Rais wa nchi hii hauonekani au hautakiwi kabisa.
Kwa namna hii tutoe ushauri tena kwamba *SERIKALI HII IPELEKE MUSWADA WA SHERIA BUNGENI KUFUTA MFUMO WA VYAMA VINGI HAPA NCHINI NA SHERIA YAKE NO. 5 YA MWAKA 1992 - TUSIPOTEZEANE MUDA !!!*

"Nashukuru Kigoma mlichagua sana CCM na wabunge wengi ni wa CCM, mimi ni Rais wa wote bila kujali vyama vyao, wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA( Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" Magufuli leo Kakonko tar 21/07/2017.
Na Makngoro Mahanga

!
!
kufuta hivi vyama ndio wazo la maana hapa
 
ubaguzi huu uanafanywa na kiongozi mkubwa wa nchi lakini viongozi wa dini wanafiki wamejificha ndani ya blanket zito lenye giza.
 
*"HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA*
Aisee hii chuki Haifai hasa Kwa mtu Kama prezdaa.
 
Hii siyo Tanzania yetu tunayoijua. Hii siyo Tanzania iliyoachwa na Baba yetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Sasa hivi kila Mtu Ana hofu. Kuanzia Waziri mpaka Mfanyakazi wa nyumbani.

Tulizoea kuishi pamoja kwa Upendo, hatukuwahi kubaguana kwa dini Zetu, Makabila yetu Rangi zetu na hata Vyama vyetu. Yanayotokea Leo, ni Aibu. Kila Mwenye akili timamu anajuta,

Lazima hali hii itoweke haraka. Ni lazima Tumtafute mchawi wetu haraka na Mapema kwa kadri tuwezavyo.
Ni Lazima kwa pamoja tusimame tuiokoe Nchi yetu, Naam, kwa sababu hatuna Nchi nyingine.
 
Ha ha ha !
Watu mna maneno!!!!
 
Kumbe maji anapelekaga kwa fedha toka kwenye mshahara wake!
 
FB_IMG_1500652461978.jpg
 
Kama maneno ya hapo chini ni yake badi hadi Leo bado anatafuta kura ili ashinde. Inavyo onavyo onekana mpaka sasa hajiamini kama yeye ni Rais wa wote... Maana wale waliochagua upinzani anaona kama wasaliti na anaahidi kuto wasaidia.

Haya maneno kama kweli ametayasema basi inawezekana toka 2015 bado hatuja pata Rais nchi hii.

*"HAKO KANAKOTOKANA NA CHADEMA*

Kama nukuu hii hapa chini ni sahihi, basi umuhimu wa upinzani na mawazo mbadala kwa Rais wa nchi hii hauonekani au hautakiwi kabisa.
Kwa namna hii tutoe ushauri tena kwamba *SERIKALI HII IPELEKE MUSWADA WA SHERIA BUNGENI KUFUTA MFUMO WA VYAMA VINGI HAPA NCHINI NA SHERIA YAKE NO. 5 YA MWAKA 1992 - TUSIPOTEZEANE MUDA !!!*

"Nashukuru Kigoma mlichagua sana CCM na wabunge wengi ni wa CCM, mimi ni Rais wa wote bila kujali vyama vyao, wabunge wote nitashirikiana nao hata na hako kanakotokana na CHADEMA( Kasuku Bilago) katakuwemo tu, ila Buyungu siku nyingine mchague vizuri, huyu mbunge ananiomba maji kama ana uwezo si alete yeye? Miradi yote inaletwa na CCM" Magufuli leo Kakonko tar 21/07/2017.
Na Makngoro Mahanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubaguzi huu uanafanywa na kiongozi mkubwa wa nchi lakini viongozi wa dini wanafiki wamejificha ndani ya blanket zito lenye giza.
Usiseme viongozi wa dini sema Roman Catholic wamemnyamazia huyu MTU wao kila kukicha anaivuruga nchi kwa ubaguzi.Wameweka pamba kabisa masikioni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom