Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Unaposema "anatupeleka wapi" ili kukujibu lazima ueleze kuwa ana/metutoa wapi. Wapi tulikuwa ndo tujue wapi tunaenda badala ya kuzungusha mikono.
Hii ni Nchi yetu sote, tumeshiriki kwa nguvu zetu zote kuijenga, haya mambo ya kubaguana ni Aina mpya ya Ushamba ambao hautavumilika na yeyote mwenye akili timamu
 
Ningekua mimi ndiye Magufuli nisingejificha under the umbrella of democracy, rather ningeigeuza TZ kua full dictatorship country. Ningefanya yafuatayo.



1) Ukiwa hutaki kazi unazurura mjini utapata adhabu kali na tutakufanyisha kwa lazima ktk Jela zetu special za wasiopenda kazi., Wakijumuishwa wapiga debe wote kwenye vituo va usafiri



2) Offisi zote serikalini na private hakuna kufanya kazi chini ya saa 24 ni shift tu ndo zinapishana



3) Wanafunzi graduates nisipokuajiri hakikisha umejiajiri ndani ya mwaka baada ya kumaliza na ntawafuatilia closely vinginevyo ukazalishe kwenye jela zetu.



4) Ningeunda special team kama TISS ya taifa for bussiness intelligence worldwide.


5) Ningeunda training Camps za lazima kwa wasiopitia education systerm ya kizungu.



6) Vyuo vyote TZ vingeendeshwa na wafanya biashara for a special contract



7) Hakuna kusoma chuo kikuu kama wewe sio special genius unaeweza kugundua vitu vipya.



8) Nisingesubiri waninyime misaada ningeikataa mwenyewe.


9) Resources zote nchini zingechimbwa na wazawa.



10) Ningefuta vyama yote vya upinzani na wapinzani wote nawafanya kua washauri kwa lazima, hutaki kimbia nchi.



11) Askari yeyote atakaye kamata madawa ya kulevya aue pale pale sitaki mahakama zifurike makesi ya madawa wakati risasi tunazo zimejaa.



12 ) Recruits wote wa jeshi lazima wawe either graduates or special talented individuals.



13 Ningezima mitandao yote ya kijamii including Jf, Ningetengeneza Mitandao yetu wenyewe mipya for buziness enhancement only, no chatting





14) Ningeuwa mashoga wote nchini.




15 ) Wanafunzi wote watakaopata mimba wanaenda kuzalia Jela.




16) Ningetunga sheria kali za mafisadi, Ukigundulika wewe ni fisadi ni kifo tu hadi kwa vizazi vyako.




17) Malaya wote wakusanywe ktk kambi maalumu kwa counselling na training ya miezi miwili baada ya hapo waanze uzalishaji wakiwa humohumo.





18)Hakuna Baa wala groceries zinazotakiwa kuonekana ktika nchi ya TZ kwanzia asbh hadi saa 12 jioni. viwanda vya pombe havitafungwa.





19) Ukigundulika umeitelekeza familia utapokea baraka ya adhali kali.




20) Kila mkoa ungejitegemea kiraslimali na yote kila mwezi ingeichangia serikali kuu kwa mapato, mkoa utakaoshindwa kujiendesha ungeachwa watu wake wafe kwa njaa, na hakuna mtu angetakiwa atoke ndani ya mkoa kukimbia makali ya maisha. ( Strickly forbiden movement from bush to town unless it's for business purposes).


Crazy ones are the ones who shape the World, Who make the World move forward. Mngenikoma for sure, Mngeniombea Kifo na nisingekufa.
Wewe Je ungekua magufuli ungefanya nini?
 
Hii ilipaswa kuwa kama series, unaleta kidogo kidogo lol umeileta yoyote, mnh
 
Point namba 13.

Futa hili neno ''including jf"

Ukifanya hivyo point itaendelea kuleta maana hivyo hivyo
 
Mkuu kama ungekuwa Magufuli usingekuwa hapa JF, kwa namna ambavyo ungeogopa challenges na kukosolewa pale unapofanya mauza-uza ungekuwa uko chumbani na mkeo umejifungia
 
Nilishitushwa na kauli yake, pale Bilago Kasuku aliposimamishwa jukwaani na kusema tatizo la jimbo lake ni maji. Yeye kwa kurespond aliwaeleza wananchi kuwa walikosea kuchagua upinzani na ndio maana mbunge analia kuna tatizo la maji, kama si angelikuwa na uwezo angeleta maji. Akawambia wana Kigoma : "Ndo mutambue sasa kuwa mwenye uwezo wa kuleta maji ni nani, ili mjifunze kutokurudia makosa. Basi kwa sababu anatoa ushirikiano".
My Take: wananchi wa jimbo hilo na majimbo mengine yanayo ongozwa na wapinzani hayapaswi kuhudumiwa na serikali ya ccm.

Kwa kauli kama hizo nadhani JPM ameshaanza kutekeleza moja ya mapendekezo 17, uliyowasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom