Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Hunifikii mimi mdogo wangu, Mungu aepushe tu maana mtu unaweza kuamua kujitoa mhanga potelea mbali!
 
Ebu ondoa takataka zako za mawazo yaliyoonza hapa Jf, Zero brain wewe kid Like Father, Tatizo mlipelekwa shule ili muajiriwe Ndio maana unatoa Povu, Huna analysis yeyote zaidi ya makaratasi ya darasani
Kakufanyaje tena huyu unayemshambulia? Mbona sioni kosa au lolote baya aliloshauri? Au mzee umekamatwa siha na kinondoni? Kuwa wazi tukusaidie namna bora ya kuishi na matokeo hasi!
 
Kosa la upinzani ni kucheza muziki wa CCM. Leta safu mpya za uongozi, zama za Mbowe zimefika ukomo, upinzani wa Leo ili ukuwe unahitaji mawazo makubwa Na uthubutu mkubwa kuliko alionao Mbowe.
Ni wakati wa wapinzani kuwafikiria umma badala ya matumbo yao
Leo bujibuji umeongea point ambayo huwezi ata kuiongea mwaka huu..!
 
Kosa la upinzani ni kucheza muziki wa CCM. Leta safu mpya za uongozi, zama za Mbowe zimefika ukomo, upinzani wa Leo ili ukuwe unahitaji mawazo makubwa Na uthubutu mkubwa kuliko alionao Mbowe.
Ni wakati wa wapinzani kuwafikiria umma badala ya matumbo yao
Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Haondoki huyo madarakani, hii ndo nitolee miaka 33 kama mentor wake kagame, na mbeleni huko itapitishwa amri mwisho kutembea barabarani saa 2 usiku na kama kawaida inzi wa kijani watashangilia
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Unawezaje kuwaweka hao wawili katika mizani moja? Angalao hata shetani ana utu!
 
Mm naona wewe humchukii mm namchukia sana mpaka namchia tena sijawahi kuona rais mwenye roho mbaya kuliko huyu
 
nafikiri si vyote vinavyotokea ni magufuri.. maana hata wkt wapo marais wengine yalikuwa yanatokea!
huenda akawa ameona hakuna la maana hata akiruhusu hiyo mikutano!.
heuanda akawa hajakosea kuitupilia mbali mikutano ya kisiasa maana hata huko nyuma ilishafanyika lkn mantiki yake ni kujazana maneno tu!
huku kuishi kama mashetani kazi ipo!.
 
Kunywa sumu, bado ana miaka nane!
Endelea kushikiwa akili na Da Mange, wewe kwenda kufungulia miguu kila mtu leo mambo yamekuwa tight sababu ya ugawaji wako unataka kutafuta wa kumtupia lawama zako?? Pambana na hali yako, umeyachagua mwenyewe hayo maisha. Shule si ulikuwa unagawa tu u***, pambana.
miaka nane ya ma**ko?
 
Hunishindi mimi, natamani hata sasa mapenzi yake mola yatimie... Jitu lina roho mbaya shetani ana nafuu
 
Mleta mada atakua majeruhi,ila maandiko yanaema mwombee adui yako aishi siku nyingi.ili unavyombarikiwa ajionee kwa macho.kesho huwezi jua wewe utakuja kua nani,acha chuki,tumia busara katika maneno yako.hata ungempenda hawezi kukulisha wala kunyanyua maisha yako.tafadhali tengua kauli yako kwani unamkosea Mungu ambae yeye Hana chuki zaidi ya upendo.magifuli atapita tu kama walivyopita wengine. Mungu awe pamoja na wewe
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Kweli kabisa kwani hata shetani harazimishi bali hubembeleza kwa vishawishi ili umfuate wewe bila shuruti, lakini huyu jamaa ni zaidi ya shetani sijui huyu ataitwaje!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom