Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana hukuwepo ikulu Nini?
Mbona aliruhusu watu kufunguka chochote
Jana hukuwepo ikulu Nini?
Mbona aliruhusu watu kufunguka chochote
Hivi kuna mtu ana ubavu Bongo wa kutoa ya moyoni mbele ya Mkulu ..............!!?Jana hukuwepo ikulu Nini?
Mbona aliruhusu watu kufunguka chochote
Kwa mfano wewe ungetoa mawazo gani ya kibiashara.Hivi kuna mtu ana ubavu Bongo wa kutoa ya moyoni mbele ya Mkulu ..............!!?
Asante sana Mkuu..1. Ametutoa kwenye usalama hadi kwenye watu kuokota fukweni ktk viroba
2. Ametutoa kwenye hospital kuwa na dawa hadi hospital kukosa dawa.
3. Ametutoa kwenye serikali kutoa ajira kila mwaka hadi kwenye serikali kutoajiri kwa miaka miwili mfululizo.
4. Ametutoa kwenye usalama wa wabunge maeneo yao ya kazi hadi kwenye wabunge kupigwa risasi 30+ hadharani.
5. Ametutoa kwenye bunge live hadi kwenye bunge gizani.
6. Ametutoa kwenye wafanyakazi kupandishwa madaraja kila mwaka hadi kutopandishwa madaraja kwa miaka miwili mfululizo.
7. Ametutoa kwenye wala rushwa kushughulikiwa hadi kwenye wala rushwa kupandishwa vyeo
8. Ametutoa kwenye ukuaji wa kilimo kwa 8% hadi kwenye ukuaji wa kilimo 0.3% kwa mwaka.
9. Ametutoa kwenye wavuvi kuendesha maisha yao kupitia uvuvi hadi kwenye kuomba omba.
10. Ametutoa kwenye deni la taifa trillion 30 hadi trillion 54.
11. Katutoa kwenye wanafunzi kuwa salama hadi kwenye wanafunzi kupigwa risasi hadharani kwenye daladala.
12. Katutoa kwenye watu wanaojulikana hadi kwenye watu wasiojulikana..
Hayo ni machache tu...
Ongezeeni...
kwa kweli inauma sana we are going to hellTz ya viwanda