Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
Bwana Membe vunja vunja Makufuli kisha mwaga Pombe yote inayo nywewa na ndege John
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mkuu umetumia lugha kali na kudharilisha sana.. mtake radhi Mh Rais..Kama mtu alikuwa anamwamini huyu kichaa alichokuwa anasema na kuahidi nampa pole sana
Ruksa kabisa kama 'Mwinyi nkuu'Kujifariji ruksa
Kujifariji ruksa
Ni vizuri kuelewa kuwa hata shetani alipata waungaji mkono wengi, lakini cha kushangaza huyo mtu aliyekujaza wewe uongo kuhusu shetani na makosa yake huyo mtu leo ukienda kwake ukimuuliza kama anamjua shetani, atakuuliza huyo mtu ni nani?Shetani pia alipata waungaji mkono na bado anao wengi tu. Hiyo haihalalishi ushetani wake. Hata mkakesha mnatafutiza sifa zake haitaondoa ukweli kuwa huyu Mheshimiwa hana LOLOTE la mfano alilofanya kuwaondolea ugumu wa maisha hao masikini aliojinasibu kuwatetea na kuwatumikia.
DuhShikamooo baba,
Ninaamini unalihisi joto japo kuwa huelewi linatokea wapi kutoka pale ulipo.
Joto hili linatokana na moshi,moshi unaofuka kutoka kwenye mto.
Mto huo ndiyo unaoutegemea ukupatie pumuziko nyakati zako hizi za mwisho kwenye maisha yako ya hapo nyumbani.
Nyumbani wameungana,wameshikamana na kukubaliana wauchome ili usilale wala kupumzika ili ukiweza kuishi uhame chumba na mtaa.
Nyumbani wanalalamika,wageni unawajali kuliko wanao,kwa faida ya nani?
Nyumbani umewatelekeza,hata ndani kwao umewazuia wasifanye chochote zaidi ya kuimba mapambio na ngoma za sifa.
Umeanza pia kuwapiga makofi ya machoni kisa tu wameimba taarabu na wengine kila kukicha unawatisha utawafukuza na bibi zao utawachapa bakora.
Mimi ni mwanao,nina marafiki,wamezama katika roho mpaka kule ambako kila mtu anapatamani afike,umechumbia wasio na vyeti,unawaacha wenye vyeti wasote mtaani kwao kwa kuwatenga mara ooh hawajasoma 'uchawi wa kizungu',roho inaniuma sana tena sana.
Hivi baba,wewe si ndiye ulisema ukishasafisha chumba chako ukawatoa buibui utaleta wasaidizi wapya,utapandisha neti chumbani kwetu? Imekuwaje?!
Miezi 36 inakatika,bado wewe unahangaika kutafuta mchawi,utaagua lini? Ugonjwa wako ni kuamini waganga wa kienyeji kuliko sisi uliotupeleka maabara za kileo,hatujui tukusaidie vipi?
Nyumba imechafuka,magodoro uliyoleta eti ni mapya....ha ha ha! Yana kunguni kibaaao.
Mzee wangu,zama zimebadilika,siyo kila homa ni maralia.
Kapime tu uhakikishe.Mto amechoma mjomba na ndugu zake akiwemo mama mdogo na yule mjomba mkubwa tena mkuuubwa kuliko wewe mara mia nne na themanini.
Kesho na keshokutwa hautalala maana hata nyumba wamekubaliana wauze baada ya kutalakiana na mama.
Lala baba,lala tu ......