MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Umenikumbusha Lissu na ben saanane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alafu utasikia watu wasiojulikana wamempyupyu mtuAnaroho mbaya ukiongea tu kuhusu ndege Pyupyu,
Ana roho kutu sana.Umenikumbusha Lissu na ben saanane
Hatukuomba watu watekwe na kupigwa risasi hadharaniTulimlilia Mungu atupe rais wa namna hii asiyeona haya,asiyefumba macho kwenye Mali ya umma,mkali kwa mafisadi ..Mungu akatusikia kilio chetu akatupa Magufuli.Mungu NI mkuu Sana
Hatuwezi kupotea kwa sababu hatujui tunapoenda!Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
MdanganyeNdio ana roho mbaya, tena roho mbaya kweli kweli, na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Amewafanya watu wasiaminiane tena, watu wanakaa kwenye vikao lakini akili ziko nje, ya kwamba humu tutoke vipi.
Watu wanaingia kwenye vikao bila ajenda. Roho mbaya iliyotukuka. Kila mmoja kapoteza dira miongoni mwa timu.
Roho mbaya ya kuwanyima ajenda wenzio. Kila kona amekaba. Wapinzani hawana tena ajenda. Mzee anatoa majibu kuntu mpaka kwenye korosho, hakuna upenyo.
Ndege zimeshindikana kuwa ajenda.
Umeme umeshindwa kuwa ajenda.
Afya imegoma kuwa ajenda.
Miundombinu imegoma kuwa ajenda.
Michezo na wasanii mzee anacheza nao fair.
Kiufupi ni roho mbaya kuwanyima wenzio ajenda ya kusemea.
NB: Labda hapa penye nyongeza ya mishahara kwa watumishi ndio wanaweza kutokea. Ukiziba na hapa 2020 kampeni chapisha vipeperushi halafu acha UVCCM wavisambaze halafu wewe nenda likizo CHATO usubiri kuapishwa.
hatari sana
Tena yanaunguza kweli kweli! And the question is: halafu vijana wetu wa JKT wakishaenda kubangua korosho kwa mdomo kisha wanazipeleka wapi!!!
Kichaa lini kajuwa neno? Swissme