Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Tuna rais wa ajabu sanaSio kweli Magufuli hajatugawanya
Tumwache Rais afanye kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna rais wa ajabu sanaSio kweli Magufuli hajatugawanya
Tumwache Rais afanye kazi
Mbaya zaidi, anataka kuligeuza Taifa hili kuwa la wanaccm pekee.......Sio kweli Magufuli hajatugawanya
Tumwache Rais afanye kazi
Sio kweli Magufuli hajatugawanya
Tumwache Rais afanye kazi
Juhudi za 'awamu' ndiyo msamiati mpya na ambao kwa kweli nimeshindwa kuelewa ni kitu gani hasa!
Mawaziri,Watendaji mbalimbali wa Serikali na hata baadhi ya wanasiasa msemo huo kwao umekuwa ndiyo kama kifungua kinywa kwa lolote walihubirialo.
Sasa hizo juhudi za 'awamu' ya tano ndicho kitu gani hasa?
Kwa hiyo kwako samehe saba wa sabiini haipo
Bunge tu halina ushawishi ata wa kulifuatilia kiukweli anapotupeleka anajua yeye maana ata wanachama wenzie hawamuelewi anakowapeleka wameamua kuzingatia kaz zao wasitumbuliweMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?
Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
ccm yenyewe hawaelewani,wanamlamba kisogo ili afeli.Muelekeo wa kimaendeleo anajitahidi ila anaharibu pale anapowahesabu wapinzani kama ni maaduwi zake.