Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Sikuwahi mchagua huyo unae mzungumzia mie nilimpigiaga mzee mwenye mvi zake nasema tena hata saiz simpigii ng'oooo kura yangu ataisoma kwenye mawingu juu mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udikteta, kupotea watu, kuteswa, kuuwawa, kuongoza nchi kwa matamko, kanda ya ziwa, chattle, kuua upinzani, kuzima vyombo vya habari, upendeleo wa kilabila,...
 
Mr.B, Elimu bure imesababisha hayo yote, ufujaji mwingi wa pesa upo kwenye elimu bure. Ni zigo la misumari kwa serikali.
Haikupaswa kuwa bure kwa sasa ambapo miundombinu na mazingira ya ufundishaji ni duni, maslahi ya walimu ni duni, walimu hawana nyumba za kuishi na hawana posho yoyote!

Elimu ni bure, ilhali shule hazina madarasa, hazina vyoo, hazina maji, hazina umeme, hazina walimu wa kutosha, shule hazina madwati, shule hazina maabara wala vifaa na zana za kufundishia!

Ni maajabu kuambiwa elimu ni bure katika mazingira kama haya, ni maajabu zaidi serikali inapojigamba inatumia matrioni kadhaa kwenye elimu bure!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengi yanayowagusa wananchi mojakwamoja, akijaribu kuyagusa kidogo tu, anaBOUNCE.

MILIONI 50 Kila kijiji kagonga mwamba

KOROSHO kagonga mwamba

KUFUNGA LAINI kagonga mwamba. Haha hahaaaaa (TCRA -nendeni ISRAEL mkodi wataalamu wa IT wawasaidie kuzima mitambo).

Ambao hatujasajili Kwa alama za vidole, bado tupo sana tu, tunasurvive. Majigambo mengi kumbe utaalamu NDUHU NINGA.

TULIKUWA TUNAWAPIMIA TU.
 
Kamanda, kuzima laini kumefeli kama dili la usaliti wa kamanda msaliti lilivyododa? Nauliza swali tu!
 
Vipi wamezima ama bado ? Yaani ningekuwa nimesoma IT ningewahack wallah. Ngoja nimtafute Snowden anipe shule ya kuhack.
Hawajazima ila msiwasirishe jamani wanaweza kuamua kuzima zote😂😂😂 chonde chonde naombeni tuwasifie kwa moyo wao wa upendo wa kuwajali watanzania
 
Hawajazima ila msiwasirishe jamani wanaweza kuamua kuzima zote😂😂😂 chonde chonde naombeni tuwasifie kwa moyo wao wa upendo wa kuwajali watanzania
Walishindwa kuzima Simu feki ndo wataweza line
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom