NIMO PRDCTZR
Senior Member
- Feb 10, 2016
- 146
- 83
Najaribu kuwaza ivi Ina maana ktk CDM woote TZ mzima wanakubaliana Na chair person Wao anavyoendesha anza chama hadi nchi kiujumla???mbona hawahoji??hawatoi maoni binafsi,hawakemea baadhi y vitendo ambavyo dhahiri tunaona tunapotea,hawamshauri mambo mblmbl???mpaka tusubiri wapinzani waongeee???yaani woote kila kitu Ni ndio mkuu??Kama hatuna mwongozo wa nchi Ni ngumu kujua tunaelekea wp maana mawazo anayo mtu kichwani mwake.....tutafute Na tuweke mwongozo wa nchi kwa mapana zaidi huu wa 1977 upo ulivyo...ni ndoto ya jamaa mmoja aliyenisimulia Na akaenda zake