Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Najaribu kuwaza ivi Ina maana ktk CDM woote TZ mzima wanakubaliana Na chair person Wao anavyoendesha anza chama hadi nchi kiujumla???mbona hawahoji??hawatoi maoni binafsi,hawakemea baadhi y vitendo ambavyo dhahiri tunaona tunapotea,hawamshauri mambo mblmbl???mpaka tusubiri wapinzani waongeee???yaani woote kila kitu Ni ndio mkuu??Kama hatuna mwongozo wa nchi Ni ngumu kujua tunaelekea wp maana mawazo anayo mtu kichwani mwake.....tutafute Na tuweke mwongozo wa nchi kwa mapana zaidi huu wa 1977 upo ulivyo...ni ndoto ya jamaa mmoja aliyenisimulia Na akaenda zake
 
Rais toa msimamo na maelekezo mbalimbali katika kilindi hiki kigumu, vitongojini wazee wa mashina wamenza kuongoza mapambano kivyao!!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Hii Ni kejeli
tapatalk_1587544789431.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mataifa nayo yana nyota Kama Binadamu wote walivyo, Taifa ni combination ya Binadamu wote wakazi wa Taifa husika.

Kuna matatizo (mkosi) hulikumba Taifa kwa miaka mingi hasa Kama ilivyo Somalia Leo, nchi hiyo ilikuwa tulivu mno, lakini Leo hii ni moto.

Tanzania nayo iliingia gizani tangu 2015 hadi leo iko gizani.
Sina la ziada, karibuni MATAGA mnilarue huku mkichukua tahadhari ya Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulingana mambo yanavyoendeshwa hasa hili janga la corona tumlaumu nani kati ya hawa?
1. Mkapa (kumpendekeza)
2. CCM (kumpa kijiti)
3. Tume ya uchaguzi (ushindi wa mezani)
4. Nape (bao la mkono)
5. Wapiga kura (waliomchagua)
Kama tungekuwa na kiongozi mwingine huenda hatua muhimu zaidi zingechukuliwa na sio tamaa hii ya pesa kuliko utu wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwenye hili janga la Corona, kuna watu wanaona kama tumepotea...
Mzee P unajuwa mada zako zinatuvuruga sana? Hivi nikuulize as now tatizo ni mawaziri au Rais?
Mkuu TumainiEl, hatukuchagua malaika, tumemchagua binadamu, hivyo can make mistakes kama human beings wengine wote ndio maana tumemuwekea wasaidizi wa kumsaidia ikiwemo kumshauri, hawa wasaidizi ndio hawamsaidii ipasavyo!.

Nasisitiza hata kwenye janga hili la Corona, rais Magufuli asaidiwe sana na wasaidizi wake. Kila rais atakachoongea kama kina utata wasaidizi wake wajitokeze kuutatua utata wake.

Mfano vurus ana life span, baada ya muda fulani kama hajapata medium ya kuingia na kufanya mutation hawezi ku survive,
Rais Magufuli kasema kuna uwezekano barakoa zimetiwa virusi, wataalamu wajitokeze kufafanua.

Rais Magufuli ameponda Fumigation ya Makonda,
Hili lifafanuliwe.

Rais Magufuli ameshauri wananchi wajifukize, lifafanuliwe,

Rais Magufuli ameruhusu wananchi watumie barakoa za kujishonea, wataalamu walipaswa kujitokeza kesho yake kutoa muongozo hizo barakoa ziwekewe linings gani ndani ili zikidhi viwango etc.

Wasaidizi wa rais, hata kwenye hili la Corona, msaidieni rais Magufuli, msimuachie pekee yake.
P
 
Sii mpaka akubali kushauriwa? Na kwa nini anatoa matamko kabla ya kupokea ushauri?
Kwa watu wengine huko tunge ita kuropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanaJF

Tangu nchi hii iruhusu mfumo wa vyama vingi 1992 mpaka leo 2020, hakuna kipindi kigumu ambacho upinzani ulikipitia kama unavyopitia sasa.

Pia hakuna nyakati ngumu zilizopitiwa na wananchi wote bila ya kuchali tajiri na masikini kama sasa katika nyanja zote za maisha ikiwa katika siasa ndio haturuhusiwi kabisa kutoa mawazo kinzani, kiafya ndio kabisa ni vifo kila siku serikali hii haijali.

Hali imekuwa mbaya ndani ya nchi hii hasa kipindi hiki cha corona, serkali yetu imevuliwa nguo haina uwezo wa kuwakinga na kuwahudumia wananchi.

Viongozi wa upinzani ni muda wenu huu sasa kuwaunganisha wananchi wote kuiangusha serikali dhalimu isiyo na uwezo kuhudumia wananchi wake.

Muda huu kupitia corona muutumie kupoza machungu ya kuzuiliwa mikutano ya kisiasa, kupigwa risasi, kuporwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na kunyanywaswa kiuchumi kwa wale wote ambao huonesha wanampinga Magufuli na serikali yake.

Kwa sasa wananchi watawaunga mkono, tengenezi hoja tuwaondoe CCM wameshindwa.

Awamu hii hata kwa nguvu ya umma kuingia barabarani itafanikiwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani wa kumshinda Magufuli ?

Hawa Chadema?[emoji3][emoji3]

Nakumbia ushindi wa Magufuli mwaka huu ni wa kimbunga
 
Siku zote anaejua unaelejea wapi ni yule alie tangulia huyo ndie mwenye uhakika 100%
 
Ushujaa wa mtu huonekana pale anapopata matatizo na jinsi anavyokabiliana nayo kwa kuwa mstari wa mbele kupambana nayo.

Ubora wa kiongozi huonekana pale anapoweka maslahi ya wengine kwanza kuliko maslahi binafsi.

Kiongozi mwenye busara hajifichi, hakimbii matatizo na huboresha maisha ya watu kwanza halafu vitu huboreshwa baadae (Ukiboresha maisha ya watu, uchumi utaimarika na vitu vitaboreshwa).

Kiongozi hodari hujali afya za watu kwanza kuliko kujali uchumi wakati raia wake wanapukutika. Je, uchumi huo ni wa walio hai au wafu?

Rais anaupenda urais ila urais haumpendi, ni bora akastaafu kwa heshima tu, tutamkumbuka kwa mema na mabaya aliyotenda.
 
Raia Mwema wamewahi kuandika ' Urais Utamshinda Magufuli' wakafungiwa Gazeti Miezi Sita
 
Watanzania acheni maneno ya mtandaoni

Nchi iko shwari, wapotoshaji hawajawahi kuisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom