Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kalala mbele vipi wakati anaendelea kupiga mzigo akitokea Ikulu ya Chato!. Jana ameteua akiwa Ikulu ya Chato,
Kesho ataapisha akiwa Ikulu hiyo hiyo ya Chato
P
Mkuu P hakuna kitu cha faraja kwa wananchi wakati wa matatizo kama kumuona kiongozi wao japo akiwafariji na kuongoza mapambano. Kwa hili nimewavulia kofia Museveni, Kagame na Kenyatta. Yaani mkuu kaamua kula kona sasa kaingia Tolabola
 
Kalala mbele vipi wakati anaendelea kupiga mzigo akitokea Ikulu ya Chato!. Jana ameteua akiwa Ikulu ya Chato,
Kesho ataapisha akiwa Ikulu hiyo hiyo ya Chato
Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! - JamiiForums
P
Hahahaha, tatizo hatumuoni kwenye wakati huu mgumu na kwa hilo hajatutendea haki kabisa. Amewasakizia msala Majaliwa na Samia. Hivi siku akiibuka toka mafichoni atatuambiaje sasa, au ataanza mimi Raisi wa wanyonge!
 
JPM naye huwa simuelewi approach zake wakati mwingine!Wakati mwingine anaweza kuona jambo linafanyika kinyume akaliacha ili aje apate cha kuongea hadharani!Hivi,alishindwa nini kuwasiliana na Mkuu wa mkoa na kuzuia mazishi yasifanyike kinyemela na badala yake mwili usafirishwe?

Yaani anashindwa kuwasiliana na mtu aliyemteua?Hapa imenikumbusha suala la Makonda na jeshi la polisi kupuliza dawa,hivi alishindwa nini kuwasiliana nao na kuwahoji kisha kuwapa maelekezo badala yake anaangalia tu halafu anakuja kutema nyongo hadharani?Is this neccesary?

Kwanini yeye na timu yake akimshirikisha waziri wa afya wasingeshughulikia suala la maabara kwa pamoja kuona tatizo liko wapi?Je,uchunguzi ukionesha kuwa labda contamination inafanyika hapo hapo maabara kwa uzembe mdogo mdogo,atakuja vipi hadharani wakati ameshayatuhumu mataifa yanayotupa vifaa?

Tutakuwa wageni wa nani?

Something must be wrong somewhere!Wastaafu fanyeni jambo mkaongee na JPM!
 
Visa vya maabara zetu Tanzania we acha tu.
Miaka zaidi ya 15 iliyopita niliambiwa nina group flani la damu kwenye hospital moja kubwa tu ya serikali.
Mwaka juzi nikaenda benki ya taifa ya damu salama nikapima ena nikaambiwa group lingine tofauti na lile la mwanzo, hapa nimebaki nashangaa nani alikosea?

Na wote hao ni taasisi za umma, huko binafsi ndio mvurugano sana labda Regency Medical Centre nawaamini vipimo vyao.
 
JPM naye huwa simuelewi approach zake wakati mwingine!Wakati mwingine anaweza kuona jambo linafanyika kinyume akaliacha ili aje apate cha kuongea hadharani!Hivi,alishindwa nini kuwasiliana na Mkuu wa mkoa na kuzuia mazishi yasifanyike kinyemela na badala yake mwili usafirishwe?Yaani anashindwa kuwasiliana na mtu aliyemteua?Hapa imenikumbusha suala la Makonda na jeshi la polisi kupuliza dawa,hivi alishindwa nini kuwasiliana nao na kuwahoji kisha kuwapa maelekezo badala yake anaangalia tu halafu anakuja kutema nyongo hadharani?Is this neccesary?Kwanini yeye na timu yake akimshirikisha waziri wa afya wasingeshughulikia suala la maabara kwa pamoja kuona tatizo liko wapi?Je,uchunguzi ukionesha kuwa labda contamination inafanyika hapo hapo maabara kwa uzembe mdogo mdogo,atakuja vipi hadharani wakati ameshayatuhumu mataifa yanayotupa vifaa?

Tutakuwa wageni wa nani?



Something must be wrong somewhere!Wastaafu fanyeni jambo mkaongee na JPM!
 
Mkeka umechanika
IMG_20200501_071900.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya pazia, ndio maana unaona inakuwa hivyo.
 
Angalieni wastaafu wengine wamestaafu kweli kweli,angalia mzee Pinda mzee wa watu ametulia zake,Angalia Jaji Chande amestaafu kweli kweli hana maneno na mtu lkn kuna wastaafu wengine wanakua wanawashwa washwa-Alisikika mkubwa mmoja akisema.
 
Bora hata sisi tuliomchagua Lowasa 2015 kwa lengo moja tu la kutaka mabadiliko. Kufanya kazi na Rais Magufuli kunahitaji moyo wa chuma. Unaweza ukawa msaidizi wake serikalini, unafanya madudu anakuangalia tu; kesho akienda kuhutubia wananchi, ndipo anakuchana live na kukutolea uvivu!!
 
Huyo wa Kwanza akithubutu tu Mwanae hawi tena Rais wa Isles ( Zanzibar ) na si ajabu hata Mkewe wa Pili akahojiwa ni wapi alipeleka wale Ndege wetu wazuri walio na Mvuto Kuwaangalia, na anayemfuatia nae akijipendekeza tu basi haraka sana Zengwe la Mkewe Kujimilikisha na Kujitambulisha kulikopitiliza na Mali za Watanzania litaanza na atafilisiwa kila Kitu na wa Mwisho Yeye akijifanya tu Kuleta za Kuleta na Kuinua Mdomo wake Mwanae Kipenzi yanaweza Kumkuta ya Kumkuta na Mali zake zote alizoziweka kwa Jina lake Mwanae zikarudi kwa wenye Nchi yao ( namaanisha Watanzania ) Acha na acheni Kuwaachuuza ( Kuwasakizia ) Wazee wa Watu kisha Blood Pressure ikawasindikiza bure Makaburini na hadi Ahera tafadhalini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom