Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.

Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.

Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.

Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.

Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?

Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.

Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Fanya kazi badala ya kushinda mitandaoni ndio utajua kuwa anatupeleka wapi . Asiyefanya kazi na asile chapa kazi ndugu.
 
Naam wanajamvi!

Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia.

Orodhesha mambo aliyo fanya Rais Mwinyi ndio utajua kuwa kuna mtu anajipigia debe yeye kwa kuwatumia the least educated fools. Mwinyi aliingia madarakani akakuta serikali ina balance zero. Kwa kushirikiana na akina Dr Ngasongwa wakakope fedha kwa Rais Mugabe ili kufufua uchumi. Kweli President Mugabe aliisaidia Tanzania bure kabisa dollar million 500! Wakakubaliana fedha hizi wasizitumie kwenye recurrent expenditure bali wazipeleke Bank kuu ili wafanya biashara wenye uwezo waagize bidhaa kutoka nje ili baadae serikali ianze kuwatoza kodi. Mpaka kufikia 1994 uchumi ukawa umefufuka. Uchaguzi mkuu wa 1995 pamoja na juhudi alizo fanya hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.

Njoo kwa mkapa. Alifanya kazi kubwa sana.Barabara nyingi nzuri zilijengwa wakati wake. Daraja la Mkapa kule Kibiti limejengwa wakati wa utawala wake. Daraja la mto Malagalasi lilianza kujengwa utawala wa Ben! Wakati anaingia madarakani GDP ilikuwa US Dollar million 29 ameondoka GDP ikiwa US dollar mill 45. What a good work. Pamoja na yote hayo hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.

Rais Kikwete ameingia madarakani amekuta GDP ni US dollar million 45, ameondoka madarakani GDP ikiwa ni US dollar million 58! Aliajiri kila mwaka, alipandisha wafanyakazi kila mwaka, nyongeza za mishahara kila mwaka. Ndiye aliye leta uchumi wa kisasa na maendeleo ya watu na vitu. Aliimarisha Demokrasia ya vyama vingi. Vyuo vikuu vingi vimeanzishwa wakati wake. Alipendwa ndani ya Chama na nje ya Chama. Ni rafiki wa watanzania. Muda wake ulipo isha akaondoka zake.

Sasa huyu Mwana kwetu John Pombe Magufuli, ameingia madarakani amekuta deni la Taifa ni shs trillion 45 ndani ya miaka mitano deni limefikia trillion 53. Kwa miaka mitano hajatoa ajira kwa vijana wala kuongeza mishahara kwa watumishi Wa umma. Kati ya 2016 mpaka 2021 mabenki 10 yamefilisika na kufunga shughuli zao. Hotel kubwa zenye hadhi ya nyota tano zimefilisika, shule nyingi za binafsi zimegeuzwa hostel. JE NI WATU WANGAPI WAMEKOSA AJIRA AU KUACHISHWA KAZI KWA TAASISI ZAO KUFUNGWA?

Sawa amejenga fly over, unaweza kulinganisha na daraja la Mkapa? Anajenga SGR, sawa , unaweza kulinganisha na reli ya TAZARA ya NYERERE? Anajenga sijui nini huko, sawa lakini unaweza kulinganisha na Mashirika ya umma 457 aliyo anzisha Nyerere? Kwanini APENDE ASIPENDE? Naona slowly we are becoming certified fools. Tunashangilia nini hasa?
 
Naam wanajamvi!

Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia...
You made my day Chief. Congrats
 
Amalize tu muda wake hiyo 2025 Mungu akimjalia uzima, amkabidhi mrithi wake aende zake akale pensheni kama walivyofanya watangulizi wake.

Kiukweli ni dharau kubwa sana kumlinganisha Magufuli na Mwalimu Nyerere! Mwalimu alikuwa ni Kiongozi mwenye maono, huku Magufuli akiwa ni Mtawala mwenye hulka zote za Kidikteta.
 
Naam wanajamvi!

Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia...
Moderstors hamjafanya haki kuunganisha uzi wa "Tumekuwa Certified Fools" ulioanza na post hii niliyoinukuu, leo, kwenye uzi huu.

Ni kama mmeuzika uzi huu mpya huku ili usionekane.

That is bloody censorship.

Tafadhalini rudisheni uzi huu usimame peke yake kama awali.

Watu wanajipinda kuchambua mambo, nyie mnakuja na kuunganisha nyuzi tu.

That is insulting.
 
Naam wanajamvi!

Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia.

Orodhesha mambo aliyo fanya Rais Mwinyi ndio utajua kuwa kuna mtu anajipigia debe yeye kwa kuwatumia the least educated fools. Mwinyi aliingia madarakani akakuta serikali ina balance zero. Kwa kushirikiana na akina Dr Ngasongwa wakakope fedha kwa Rais Mugabe ili kufufua uchumi. Kweli President Mugabe aliisaidia Tanzania bure kabisa dollar million 500! Wakakubaliana fedha hizi wasizitumie kwenye recurrent expenditure bali wazipeleke Bank kuu ili wafanya biashara wenye uwezo waagize bidhaa kutoka nje ili baadae serikali ianze kuwatoza kodi. Mpaka kufikia 1994 uchumi ukawa umefufuka. Uchaguzi mkuu wa 1995 pamoja na juhudi alizo fanya hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.

Njoo kwa mkapa. Alifanya kazi kubwa sana.Barabara nyingi nzuri zilijengwa wakati wake. Daraja la Mkapa kule Kibiti limejengwa wakati wa utawala wake. Daraja la mto Malagalasi lilianza kujengwa utawala wa Ben! Wakati anaingia madarakani GDP ilikuwa US Dollar million 29 ameondoka GDP ikiwa US dollar mill 45. What a good work. Pamoja na yote hayo hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.

Rais Kikwete ameingia madarakani amekuta GDP ni US dollar million 45, ameondoka madarakani GDP ikiwa ni US dollar million 58! Aliajiri kila mwaka, alipandisha wafanyakazi kila mwaka, nyongeza za mishahara kila mwaka. Ndiye aliye leta uchumi wa kisasa na maendeleo ya watu na vitu. Aliimarisha Demokrasia ya vyama vingi. Vyuo vikuu vingi vimeanzishwa wakati wake. Alipendwa ndani ya Chama na nje ya Chama. Ni rafiki wa watanzania. Muda wake ulipo isha akaondoka zake.

Sasa huyu Mwana kwetu John Pombe Magufuli, ameingia madarakani amekuta deni la Taifa ni shs trillion 45 ndani ya miaka mitano deni limefikia trillion 53. Kwa miaka mitano hajatoa ajira kwa vijana wala kuongeza mishahara kwa watumishi Wa umma. Kati ya 2016 mpaka 2021 mabenki 10 yamefilisika na kufunga shughuli zao. Hotel kubwa zenye hadhi ya nyota tano zimefilisika, shule nyingi za binafsi zimegeuzwa hostel. JE NI WATU WANGAPI WAMEKOSA AJIRA AU KUACHISHWA KAZI KWA TAASISI ZAO KUFUNGWA?

Sawa amejenga fly over, unaweza kulinganisha na daraja la Mkapa? Anajenga SGR, sawa , unaweza kulinganisha na reli ya TAZARA ya NYERERE? Anajenga sijui nini huko, sawa lakini unaweza kulinganisha na Mashirika ya umma 457 aliyo anzisha Nyerere? Kwanini APENDE ASIPENDE? Naona slowly we are becoming certified fools. Tunashangilia nini hasa?
you are so ginuine bro. Keep that mind alive
 
Hapakuwa na haja ya kuunganisha huu uzi. Ujumbe wake ni tofauti kabisa na una uzito wake. Huu ni mjadala unaojitegemea. Unahitaji majibu ya watetezi wa "aongezewe muda"

Naomba huu uzi urudi kujitegemea.
 
Tutagundua tukifika huko atupelekako mwaka 2025 kama Katiba haitabadilishwa!
 
Tanzania needs to increase investments in infrastructure and human capital to further unlock its growth potential while enabling the private sector to create more jobs.

This will not only have a stronger impact on poverty reduction but it is also consistent with the new government’s priorities and its commitment to the achievement of the country’s Vision 2025 goals.

The needs are many but the resources are limited and a focused approach in which key development priorities are fully financed will be needed to achieve the desired results”.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.

Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya Rais au Waziri Mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.

Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.

Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu.

Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je, anajua jinsi ya kututoa?! Anajua anakotupeleka?

Nimejitahidi kuangalia Bunge ili nione labda Mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.

Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Anatupeleka mbinguni, yeye sio atakuwa kiongozi wa Malaika?
 
Tanzania needs to increase investments in infrastructure and human capital to further unlock its growth potential while enabling the private sector to create more jobs.

This will not only have a stronger impact on poverty reduction but it is also consistent with the new government’s priorities and its commitment to the achievement of the country’s Vision 2025 goals.

The needs are many but the resources are limited and a focused approach in which key development priorities are fully financed will be needed to achieve the desired results”.
Mkuu mbona unaongea kama hali halisi ya Tanzania huijui? Unapoongelea tuwekeze kwenye rasilimali watu; vijana kila mwaka wanamaliza vyuo na ajira hakuna.

Private sector ndio inazidi kudidimia, makampuni yanapunguza wafanyakazi na mengine kufilisika kabisa. Wafanya biashara wanapungia kwa kasi kwa malimbikizo ya kodi wanazokamuliwa.

Mambo ya nadharia msiyalete kwenye hali halisi. Watanzania wapo katika wakati mgumu kuliko kipindi chochote kile cha kiuongozi.
 
Naam wanajamvi!

Unaweza kusema sasa watanzania tumekuwa certified fools. Ukiwaangalia wale wote wanao sema apende asipende unaweza kuhitimisha kuwa they are fools of their own kind ! Hawana sababu ya msingi. Nilimsikiliza mmoja anasema kwa mambo haya aliyo fanya Magufuli aendelee mpaka mwisho wa nguvu zake!! Najiuliza kafanya yapi hayo? Maana mimi nikiorodhesha mambo aliyo fanya Nyerere Magufuli hata 10% hajafika na kamwe hatafikia.

Orodhesha mambo aliyo fanya Rais Mwinyi ndio utajua kuwa kuna mtu anajipigia debe yeye kwa kuwatumia the least educated fools. Mwinyi aliingia madarakani akakuta serikali ina balance zero. Kwa kushirikiana na akina Dr Ngasongwa wakakope fedha kwa Rais Mugabe ili kufufua uchumi. Kweli President Mugabe aliisaidia Tanzania bure kabisa dollar million 500! Wakakubaliana fedha hizi wasizitumie kwenye recurrent expenditure bali wazipeleke Bank kuu ili wafanya biashara wenye uwezo waagize bidhaa kutoka nje ili baadae serikali ianze kuwatoza kodi. Mpaka kufikia 1994 uchumi ukawa umefufuka. Uchaguzi mkuu wa 1995 pamoja na juhudi alizo fanya hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.

Njoo kwa mkapa. Alifanya kazi kubwa sana.Barabara nyingi nzuri zilijengwa wakati wake. Daraja la Mkapa kule Kibiti limejengwa wakati wa utawala wake. Daraja la mto Malagalasi lilianza kujengwa utawala wa Ben! Wakati anaingia madarakani GDP ilikuwa US Dollar million 29 ameondoka GDP ikiwa US dollar mill 45. What a good work. Pamoja na yote hayo hatukusema APENDE ASIPENDE LAZIMA AENDELEE! Kwanini? Tuliheshimu KATIBA.

Rais Kikwete ameingia madarakani amekuta GDP ni US dollar million 45, ameondoka madarakani GDP ikiwa ni US dollar million 58! Aliajiri kila mwaka, alipandisha wafanyakazi kila mwaka, nyongeza za mishahara kila mwaka. Ndiye aliye leta uchumi wa kisasa na maendeleo ya watu na vitu. Aliimarisha Demokrasia ya vyama vingi. Vyuo vikuu vingi vimeanzishwa wakati wake. Alipendwa ndani ya Chama na nje ya Chama. Ni rafiki wa watanzania. Muda wake ulipo isha akaondoka zake.

Sasa huyu Mwana kwetu John Pombe Magufuli, ameingia madarakani amekuta deni la Taifa ni shs trillion 45 ndani ya miaka mitano deni limefikia trillion 53. Kwa miaka mitano hajatoa ajira kwa vijana wala kuongeza mishahara kwa watumishi Wa umma. Kati ya 2016 mpaka 2021 mabenki 10 yamefilisika na kufunga shughuli zao. Hotel kubwa zenye hadhi ya nyota tano zimefilisika, shule nyingi za binafsi zimegeuzwa hostel. JE NI WATU WANGAPI WAMEKOSA AJIRA AU KUACHISHWA KAZI KWA TAASISI ZAO KUFUNGWA?

Sawa amejenga fly over, unaweza kulinganisha na daraja la Mkapa? Anajenga SGR, sawa , unaweza kulinganisha na reli ya TAZARA ya NYERERE? Anajenga sijui nini huko, sawa lakini unaweza kulinganisha na Mashirika ya umma 457 aliyo anzisha Nyerere? Kwanini APENDE ASIPENDE? Naona slowly we are becoming certified fools. Tunashangilia nini hasa?
Huu unapaswa kuwa uzi unaojitegemea
 
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome > Tukumbushane ahadi za Magufuli

Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia > [URL='https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=306026&d=1447665705']PDF: Ilani ya chama cha mapinduzi 2015-2020[/URL]

Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Kwa bahati mbaya ilani ya CCM na anavyovifanya haviakisi ilani hiyo. Vingi hutegemea ameamkaje. Kwa mfano, ununuzi wa ndege, ujenzi wa miundo mbinu Chato n.k.

Hivyo kuisoma Ilani bado haitupi picha tuelekeako. Tafakari!

Kidogo katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020 umetufungua kidogo. Kwani nia mara ya kwanza mgombea urais aomba hifadhi ya ukimbizi nje. Mbunge 2015 -2020 naye aomba ukimbizi nje ya nchi. Mmmmmm, kweli tuanaanza kujua tuelekeako.

Maendeleo hayana chama.
 
Huu uzi ni mzuri sana...sijajua kwenye vita ya corona anatuambia je kama kiongozi wa nchi
 
Magufuli kashindwa maarifa ya kuongoza nchi kwa mifano,

Watu wanahangamia yeye yupo busy na misimamo yake kwamba tusivae barakoa Hakuna Corona, jamani ameshindwa kuona kwamba watu wanakufa?

Mtu mzima akivuliwa nguo uchutama, nauliza Kama ameshindwa hekima ya kutengua kauli yake kwa watanzania na kuogopa fedheha alipaswa angalau asitamke ila AVAE BARAKOA TÜ KIMYA KIMYA WAKATI WA MAZISHI,

Kashindwa Sana Sana maeneo mengi

Britannica
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom