Pumba tu hizi....Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Jiwe limetuburuza sana! Sasa waliokua wananufaika nae wamepagawa!Kwakweli potelea pote
Wewe bila shaka ni mtumishi wa TRA kwenye kitengo cha Task Force naona ulikuwa na maslahi katika kunyang'anya pesa za watu, kwahiyo naona unaona Rais anakuvuruga kukuambia usitumie nguvu katika kudai kodi.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ubaya kwenye hii nchi mwendazake alifanikiwa kuwa brainwash watuAkili za kuku hizi
Kazi ya Rais ni kusuluhisha ugomvi wa idara?
Aione kalemani & co.Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.
Unahakika na hilo,mashaka yangu wakwamia awamu yao wamekutanaKwani mtoa mada kuna ambalo kalibainisha sio la kweli?
Kitendo cha kutaja sehemu zilizoonyesha kasoro ni kuonesha wenye nia ovu tayari, na anakuwa kwenye kundi la wanaotaka tupige hatua.
Wewe usiyetaka kuyaona hayo au hata ukiyaona unayachukulia kawaida wewe ndie mwenye nia ovu usiyetaka tupige hatua.
We endelea kumshangaa wakati wengine tukifurahia ujio wake kuja kufuta machozi watu walioteseka, kuonewa na kubaguliwaMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani...
Sukuma gang wanamhujumu mama.Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Sasa kama wao walikomesha hali hiyo kwa nini asishirikiane nao ili kukoma kwa hali ile iendelee?Sukuma gang wanamhujumu mama.
Hakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisaMama ni mpole kupita maelezo na huu ni mwanzo tu japo ni ujinga kusubiri mtu wa juu atoe vitisho wakati mamlaka ziko vilevile
Hilo suala lipo ndani ya UWEZO wa AFANDE SIRO wala halipaswi kushughulikiwa na MAMA, vinginevyo labda kama unataka kutuaminisha kuwa AFANDE SIRO ameshindwa KAZI.Mama ni mpole kupita maelezo na huu ni mwanzo tu japo ni ujinga kusubiri mtu wa juu atoe vitisho wakati mamlaka ziko vilevile
Awamu iliyopita awamu ya tano walikuwepo kama Watu wasiojulikana,leo sukuma gang hawamtaki mama kwa namna yoyote ile hivyo figisu figisu ni nyingi.Sasa kama wao walikomesha hali hiyo kwa nini asishirikiane nao ili kukoma kwa hali ile iendelee?
Uharamia haufichiki hoja yako ni mfu ndg.Hakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisa